Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,203
Wakuu huku niliko hali sio mbaya kivile japo ugonjwa ushafika, nimecancel safari yangu ya kuja nyumbani nibaki huku mpaka hili janga liishe.
Nisije kuingia kwenye rekodi ya walioleta Corona Bongoland.
Uzalendo kwanza na naamini hakuna Mtanzania hata mmoja atakayekufa kwa Corona.
Nisije kuingia kwenye rekodi ya walioleta Corona Bongoland.
Uzalendo kwanza na naamini hakuna Mtanzania hata mmoja atakayekufa kwa Corona.