Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Wakuu huku niliko hali sio mbaya kivile japo ugonjwa ushafika, nimecancel safari yangu ya kuja nyumbani nibaki huku mpaka hili janga liishe.

Nisije kuingia kwenye rekodi ya walioleta Corona Bongoland.

Uzalendo kwanza na naamini hakuna Mtanzania hata mmoja atakayekufa kwa Corona.
 
Wakuu huku niliko hali sio mbaya kivile japo ugonjwa ushafika, nimecancel safari yangu ya kuja nyumbani nibaki huku mpaka hili janga liishe
nisije kuingia kwenye rekodi ya walioleta corona Bongoland.
Uzalendo kwanza.... na naamini hakuna mtanzania hata mmoja atakaekufa kwa corona
Amen, Watz tutavuka n'gambo ya pili salama kwa neema ya Mungu! Hata ww, kama huna sababu ya maana sana kurudi home tafadhali tulia huko! Unaweza ambukizwa kwenye ndege na airport hata kama hujaambukizwa bado! So please, just relax!
 
Amen, watz tutavuka n'gambo ya pili salama kwa neema ya Mungu! Hata ww, kama huna sababu ya maana sana kurudi home tafadhali tulia huko! Unaweza ambukizwa kwenye ndege na airport hata kama hujaambukizwa bado! So please, just relax!
Ahsante mkuu, that's why nimeamua nitulie
 
We endelea kubaki huko mkeo wamle kimasihara 😀
 
hahaha na wewe umeanza kubana pua
Ewaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Its babby rona
20200318_125155.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawalaumu mods kwa kuharibu huu uzi, ulikuwa ni uzi wa update tu sasa ninyi mmechanganya matakataka mengine humu. Sasa mtoa update amewaachia uzi wenu haya sasa wekeni update ninyi. Mlikuwa mnaona jamaa anafaidi amah.?
Usisahau bando ni lake,muda ni wake hadi simu ni yake.ila jamaa amekatishwa tamaa kwa kuchanganyiwa uzi na baadhi ya mijitu humu ya uvfisiemu Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom