Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Wakuu huku niliko hali sio mbaya kivile japo ugonjwa ushafika, nimecancel safari yangu ya kuja nyumbani nibaki huku mpaka hili janga liishe.

Nisije kuingia kwenye rekodi ya walioleta Corona Bongoland.

Uzalendo kwanza na naamini hakuna Mtanzania hata mmoja atakayekufa kwa Corona.
 
Amen, Watz tutavuka n'gambo ya pili salama kwa neema ya Mungu! Hata ww, kama huna sababu ya maana sana kurudi home tafadhali tulia huko! Unaweza ambukizwa kwenye ndege na airport hata kama hujaambukizwa bado! So please, just relax!
 
Amen, watz tutavuka n'gambo ya pili salama kwa neema ya Mungu! Hata ww, kama huna sababu ya maana sana kurudi home tafadhali tulia huko! Unaweza ambukizwa kwenye ndege na airport hata kama hujaambukizwa bado! So please, just relax!
Ahsante mkuu, that's why nimeamua nitulie
 
We endelea kubaki huko mkeo wamle kimasihara πŸ˜€
 
Mimi nawalaumu mods kwa kuharibu huu uzi, ulikuwa ni uzi wa update tu sasa ninyi mmechanganya matakataka mengine humu. Sasa mtoa update amewaachia uzi wenu haya sasa wekeni update ninyi. Mlikuwa mnaona jamaa anafaidi amah.?
Usisahau bando ni lake,muda ni wake hadi simu ni yake.ila jamaa amekatishwa tamaa kwa kuchanganyiwa uzi na baadhi ya mijitu humu ya uvfisiemu Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…