Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

😀😀😀😀 take care of yourself. BTW corona isn't for everyone
huku mambo yashakuwa magumu hata wale niliozoea kukutana nao mara kwa mara sasa wamejifungia
japo huku rate ya maambukizi sio kubwa sana
 
Salama wakuu? Hope mnaendelea vyema na mapambano ya Corona & life.

Corona Imekua janga kwa dunia nzima kila mtu anafahamu hili.

Je! kwa nchi ambazo janga hili limekua kubwa zaidi kama China, Italy, Spain, Iran & the like hali ya usalama Imekaaje?

Vibaka na majizi wakikamatwa process za kuwapeleka police station & mahakamani zimekaaje?

Au dunia ndio Inakaribia kuwa free crime place.

Je! Hili janga linaweza kuleta uasi wa kiserikali kwa urahisi? (Mapinduzi kwenye nchi zenye waasi msituni)

I'm asking politely.
Thanks.
 
Habari wana jamvi,

Kama tunavyojua janga hili la Covid-19 limeingia nchini na naamini kuna cases nying zaid hazijakuwa reported kama tunavyojua nchi yetu hii.

Kwa mimi binafsi namfahamu mtu ambae shughuli zake ni za kuhudumia watalii sana na tangia juzi hali yake ya afya haiko vizuri lakin tangu atoe taarifa hospital kuu ya wilaya wamekuja kuchukua vipimo na kuondoka amekuwa akimeza panadol tu na kuna jamii ya watu wanaomzunguka wakiwemo wazee na watoto wadogo, mbaya zaidi amepigwa pini asisafiri kuja kwenye hospitali kubwa kupatiwa matibabu husika kuliko kutengwa tu na kuendelea kuishi mtaani tu.

Very sad kwa kweli hii nchi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhariri
Moderator
Paw
Invisible
Mbona mmeharibu Uzi wetu kwa kuunganisha na upuuzi?
Huu uzi ulikuwa wajitegemea kuweka updates nyinyi kwa ujinga wenu mmeunganisha na ujinga wa watoa mada wengine

Sent using Jamii Forums mobile app

hawa jamaa tushawaambia waazishe uzi wao maalum wa corona na ID yao ya jamii forum kisha waanze kuunga hizo nyuzi zao

Huu waache kutuunganushia nyuzi zingime za hovyo huu Uzi ni wa upadate tu jamani mtuelewe
Invisible
Mhariri
Moderator
Paw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…