Salama wakuu? Hope mnaendelea vyema na mapambano ya Corona & life.
Corona Imekua janga kwa dunia nzima kila mtu anafahamu hili.
Je! kwa nchi ambazo janga hili limekua kubwa zaidi kama China, Italy, Spain, Iran & the like hali ya usalama Imekaaje?
Vibaka na majizi wakikamatwa process za kuwapeleka police station & mahakamani zimekaaje?
Au dunia ndio Inakaribia kuwa free crime place.
Je! Hili janga linaweza kuleta uasi wa kiserikali kwa urahisi? (Mapinduzi kwenye nchi zenye waasi msituni)
I'm asking politely.
Thanks.