Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kuna vitu vingine si vya kupewa sifa kila siku. Hapa jambo la kusisitiza ni usafi tu uendelee kila mara.
Acheni kututisha na kuusifia sana ugonjwa.
Tumeshaambiwa wakusifiwa ni Mungu pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wanaweza kuitumia corona kama fimbo ya kiuchumi kwa AfrikaHakuna mtu aliewahi kupona moja kwa moja kwa ugonjwa wa ambao unasababishwa na virusi hili janga halijawahi waacha wazungu salama kila siku wanaumiza vichwa dawa ya kuua magonjwa yanayosababishwa na virusi.