Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Chanzo cha yote hayo ni wachina kupenda supu ya popo! View attachment 1367287
Hii sio kweli mkuu , hawa popo wapo tokea misingi ya dunia inawekwa mpaka leo hii, miaka yoooote wasilete shida ije leo tena ogonjwa hatari hivi ?

Huu ugonjwa ni mpya , haujawah kuwepo , na wote twajua uumbaji Mungu Alisha maliza zamani , hii Ni kazi ya mikono ya binadamu , biological weapon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo sio popo kuwepo toka Adamu, walikuwepo lakini hawakutumika kama kitoweo huko nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Uingereza imeripoti visa vipya vinne (4). Visa hivyo ni miongoni mwa abiria waliokuwa katika meli ya Diamond Princess.
 
Idadi ya visa vipya kutoka katika meli ya Diamond Princess inazidi kuongezeka.
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 23 vimeripotiwa nchini humo pamoja na kifo kipya kimoja (1).

Visa vipya takribani 76 vimeripotiwa ndani ya siku moja huku idadi ya visa vyote ikifikia 155.
 
UPDATE: Italy's 3rd death from Coronavirus

The patient was an elderly woman who, in addition to coronavirus, was also suffering from cancer.
 
tatizo sio popo kuwepo toka Adamu, walikuwepo lakini hawakutumika kama kitoweo huko nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?

Tokea miaka 1930 huko wanatumia , isiwadhuru miaka yote hiyo mia kasoro ije iwadhuru leo ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom