Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika Tanzania wengi wenye HIV watakufa sana,maana naona wenye immunity ndogo ndo wanakufa .
Mkuu ulaji wa vitu vya hivyo hovyo sio asili ya Mchina.ulaji huu umeanza wakati wa njaa kubwa ilipoipiga China wakati wa utawala wa Mao, njaa hii iliondoka na mamilion ya watu, hapo ndipo Wachina walipojifunzia kula kila kitu isipokuwa Mavi tu.Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?
Tokea miaka 1930 huko wanatumia , isiwadhuru miaka yote hiyo mia kasoro ije iwadhuru leo ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,Mkuu ulaji wa vitu vya hivyo hovyo sio asili ya Mchina.ulaji huu umeanza wakati wa njaa kubwa ilipoipiga China wakati wa utawala wa Mao, njaa hii iliondoka na mamilion ya watu, hapo ndipo Wachina walipojifunzia kula kila kitu isipokuwa Mavi tu.
Ulichokiandika hapa ni sawa na mtu yule amba anafanya ngono zembe bila kinga, mwisho wa siku anaukwaa, anapima na kupewa majibu, majibu anayakataa kwa madai kwamba amekuwa hatumii mpira toka miaka 90 hadi leo, miaka yote hiyo hakuwai kuukwaa ni vipi leo apate maambukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishakuwa confirmed kwamba black people apati athari na corona?Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,
Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons
Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
3,711 in totalHii meli ni kubwa sana inabeba watu 3000+!! Dah inazidi ile TITANIC??
Sent using Jamii Forums mobile app
bilashaka ulitoa ushirikiano kuonja chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,
Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons
Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu tu kueka sawa ila sija maanisha maana hata mm naamini kuna uwezekano wa maradhi ya maabara.....Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?
Tokea miaka 1930 huko wanatumia , isiwadhuru miaka yote hiyo mia kasoro ije iwadhuru leo ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusizunguke sana katika jambo ili..Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,
Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons
Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametokea IranUPDATE: Visa vipya vitatu (3) vimeripotiwa nchini Kuwait. Hivi ni visa vya kwanza kabisa kuripotiwa nchini humo.
New World Order, Reduction ya population ni main strategy ya JesuitssMkuu tusizunguke sana katika jambo ili..
Nini msimamo wako juu ya chanzo cha ugonjwa huu?, ni silaha za kibaiolojia ama ni moja ya janga la asili tu kama yalivyo mengine?.
Sent using Jamii Forums mobile app