Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Wametokea CHINA Mkuu Sababu Ndio Chimbuko Latatizo Hapo IRAN Ninjia Tuu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametokea CHINA Mkuu Sababu Ndio Chimbuko Latatizo Hapo IRAN Ninjia Tuu.....
Ama ulishawahi Kusikia Kina Yesu Huko Wanaugua Maradhi yaajabu ajabu kama hayoHili ni wazo lako , na kama wamepata ugonjwa ambao hawakui kuupata , hata huo utakua man made , Mungu haumbi tena , alishamaliza , kiumbe kipya kinachokuja chenye uhai n mikono ya binadamu... Mengine hua n genetic modified yaweze kua lethal zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado yupo karantini. Vipimo vya mara ya mwisho vilionesha negative.
Kaeleza nini ? Hebu dadavua , kwamba kitoweo mtumie tokea miaka ya 30 huko kije kilete madhara 2020 ?? Almost miaka 100 ??? And you are buying into that idea ???
Alafu sio mtu mmoja n taifa, mfano wake ungekua na maana kama angeathirika mtu mmoja tu , taifa Hilo Hilo waathirika Zaid ya watu 70000, in space of two months, kwann wasidhurike muda woooote huo ?? Be smart like your smartphone bro

All those are man madeKwan HIV Wakati Inaripuka MUNGU Alikua Hajamaliza Uumbaji ?!
Wakati EBOLA Inaripuka Nayo Ilikuaje ?!
Wakati Malaria Yanazuka Ilikuaje Ama ulishawahi Kusikia Kina Yesu Huko Wanaugua Maradhi yaajabu ajabu kama hayo
Nandio maana yanaitwa maradhi ama magonjwa yamripuko kwasababu awali hayakuwepo ila kuna uwezekano muda wowote yanatifuka tuu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Si janga la asili , labda nikuulize , Kwani Mungu bado anaendelea na uumbaji ??
Hawa wadudu ni mikono ya binadamu, wanafanya genetic modifications wanayaachia , shida inakua kama hivi.... Kuna kitabu kama nikikumbuka nitakileta hapa..kinahusu Mossad..shirika la kijasus la Israel.. virusi vya Ebola walikua navyo kabla hata havijawahi reportiwa popote dunia kama vimeleta maafa , na hata hapa naamini Wana magonjwa mengine mengi tu deadly na lethal kuliko hata huu..ni swala la muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Immunity yao ipo chini Corona ataishusha zaidi despite ya hizo ARV wanazotumia. Ni kweli wanawapa ARV ila na dawa zingine pia. Immunity ya mtu ndo inapambana zaidi against hawa Corona.Wenye HIV wanaotumia ARV hawatakufa, maana inasemwa kuwa dawa zinazowasaidia wagonjwa wa Corona ni doze ya ARV
tatizo sio popo kuwepo toka Adamu, walikuwepo lakini hawakutumika kama kitoweo huko nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Nice France. Naogopa balaa.Maana Nice na Italia ni pua na mdomo. Hope nitarudi Tanzania bila maambukizo.UPDATE: Italia
Visa vingine saba (7) vimeripotiwa nchini humo. Jumla ni visa 200 hadi sasa.
Msalimie mbappeNipo hapa Nice France. Naogopa balaa.Maana Nice na Italia ni pua na mdomo. Hope nitarudi Tanzania bila maambukizo.
Duh noma kweli ili wakae ndani wajifungieUPDATE: Hali ilivyo nchini Italia baada ya kuzuka kwa kasi kubwa kwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo
Manunuzi ya mapema ya bidhaa mbalimbali hususani vyakula yamekuwa makubwa isivyo kawaida katika maduka na masoko kutokana na mlipuko wa virusi hivyo hususani katika maeneo yaliyoathirika zaidi.
View attachment 1367879View attachment 1367880View attachment 1367883View attachment 1367885View attachment 1367886
Mbappe yupo Paris huko ni mbali. Mimi nipo Nice Côte d'azur. Hata ndege kurudi Bongo nitapandia hapa hapa côté d'azur.
UPDATE: Italia
Visa vingine saba (7) vimeripotiwa nchini humo. Jumla ni visa 200 hadi sasa.
Duh poapoa kula nchi mkuuMbappe yupo Paris huko ni mbali. Mimi nipo Nice Côte d'azur. Hata ndege kurudi Bongo nitapandia hapa hapa côté d'azur.