Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?

Tokea miaka 1930 huko wanatumia , isiwadhuru miaka yote hiyo mia kasoro ije iwadhuru leo ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulaji wa vitu vya hivyo hovyo sio asili ya Mchina.ulaji huu umeanza wakati wa njaa kubwa ilipoipiga China wakati wa utawala wa Mao, njaa hii iliondoka na mamilion ya watu, hapo ndipo Wachina walipojifunzia kula kila kitu isipokuwa Mavi tu.

Ulichokiandika hapa ni sawa na mtu yule amba anafanya ngono zembe bila kinga, mwisho wa siku anaukwaa, anapima na kupewa majibu, majibu anayakataa kwa madai kwamba amekuwa hatumii mpira toka miaka 90 hadi leo, miaka yote hiyo hakuwai kuukwaa ni vipi leo apate maambukizi.

Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,

Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons

Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?

Ishakuwa confirmed kwamba black people apati athari na corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
bilashaka ulitoa ushirikiano kuonja chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo be smart
Sio kila kitu unahisi utakavyo
Jamaa kakuelezea kimakini sana ila huelewi, shida ni ww
Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,

Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons

Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna hatari dunia kuhamishia mawazo na uwezo mkubwa kwenye kupambana na COVID-19 wakalegeza kamba kwenye ebola. ikazidi kukita mizizi.

hii ni balaa.

ebola for Africans

na

Covid-19 for whites.

mechi ni dakika 90.

Mungu awe upande wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine popo walipata ugonjwa ambao hawakuwahi kuupata kabla ambapo ugonjwa huo ukikutana na mwili wa bina adamu unasababisha madhara kama tunayoyaona sasa
Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?

Tokea miaka 1930 huko wanatumia , isiwadhuru miaka yote hiyo mia kasoro ije iwadhuru leo ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu tu kueka sawa ila sija maanisha maana hata mm naamini kuna uwezekano wa maradhi ya maabara.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Visa vipya vitatu (3) vimeripotiwa nchini Kuwait. Hivi ni visa vya kwanza kabisa kuripotiwa nchini humo.
 
Aisee...be smart like your smartphone bro , jifunze..penda kusoma, utajua mambo mengi , there is no way kitu ambacho hakikuwapi kuwapo hasa kiumbe..alafu kikaja ghafla tu na kua deadly hivi,

Kama makala nyingi, vipo vitabu vinaelezea operations za kijasusi , magonjwa ya mlipuko haya ambayo hayakuwah kuwepo hapo awali hua ni man made hayo , watu wanakaa maabara wanatengeneza , miaka ya 40 huko kuja mpaka miaka 80 huko.. hako , ilikua ni epic ya hizo biological weapons

Miaka ni 90 hivyo ni vizazi zitatu au vinne , msipate shida , mje mpate leo .. na kwann mtu mweus haathiriki ?? Uliwah ona ugonjwa wa hvyo wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusizunguke sana katika jambo ili..
Nini msimamo wako juu ya chanzo cha ugonjwa huu?, ni silaha za kibaiolojia ama ni moja ya janga la asili tu kama yalivyo mengine?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Kuwait's first 3 cases of coronavirus are people who recently returned from Mashhad in northeast Iran.
 
UPDATE: Italia imeripoti kifo cha nne nchini humo kutokana na virusi vya COVID-19.

Kifo hicho kimetajwa kuwa ni mwanamume aliyekuwa na umri wa miaka 84. [Republicca]
 
Back
Top Bottom