Yule patient 1 Alikula dinner marakibao na patient zero.Ikute patient zero alikuwa na virus sema immunity yake ikapambana na hakuugua ingawa aliambukiza.Italy imesema kuwa hadi sasa haijamjua Patient Zero ni nani na alitokea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule patient 1 Alikula dinner marakibao na patient zero.Ikute patient zero alikuwa na virus sema immunity yake ikapambana na hakuugua ingawa aliambukiza.
Marekani
Kanada
Hongkong
Zinatarajia kuwafata raia wake walio kwenye meli ya Diamond Princess nchini Japan
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini!!! [emoji17][emoji17][emoji17]NEWS ALERT: 4-year-old girl falls to her death in Hong Kong after being left home alone over fears of coronavirus. [HK01]
huu ni uonevu[emoji20][emoji20][emoji20]NEWS ALERT: Turkey's health minister says all passengers arriving from Iran will face health checks, anyone with symptoms will be denied entry. [Anadolu]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio kweli mkuu , hawa popo wapo tokea misingi ya dunia inawekwa mpaka leo hii, miaka yoooote wasilete shida ije leo tena ogonjwa hatari hivi ?Chanzo cha yote hayo ni wachina kupenda supu ya popo! View attachment 1367287
tatizo sio popo kuwepo toka Adamu, walikuwepo lakini hawakutumika kama kitoweo huko nyuma.Hii sio kweli mkuu , hawa popo wapo tokea misingi ya dunia inawekwa mpaka leo hii, miaka yoooote wasilete shida ije leo tena ogonjwa hatari hivi ?
Huu ugonjwa ni mpya , haujawah kuwepo , na wote twajua uumbaji Mungu Alisha maliza zamani , hii Ni kazi ya mikono ya binadamu , biological weapon
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Italy's 3rd death from Coronavirus
The patient was an elderly woman who, in addition to coronavirus, was also suffering from cancer.
Japan wamefanya kosa kubwa sana kuwaachia baadhi ya waliokuwemo kwenye Diamond Princess kuondoka bila hata kupimwa,kuna watu kadhaa waliondoka zao ,sasa imagine wapo mtaani na labda wameambukizwa.Idadi ya visa vipya kutoka katika meli ya Diamond Princess inazidi kuongezeka.
Italia wagonjwa washafika 150.Aiseee!
Kwahiyo walianza kutumika kama kitoweo mwezi December mwaka Jana ?? Mkuu , reasoning ya aina gani hii ?tatizo sio popo kuwepo toka Adamu, walikuwepo lakini hawakutumika kama kitoweo huko nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika Tanzania wengi wenye HIV watakufa sana,maana naona wenye immunity ndogo ndo wanakufa .
hatari sanaMkuu hata mm bnafsi nime jiuliza sana hilo jambo maana nimeona sana wengi wao age zimekua above 50 sasa cjajua kama wengi wao wa huo umri wanakufa sana kwashda gan
All in all MUUMBA Ajaalie Lipite Tena Maana Daah[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
NEWS ALERT: 4-year-old girl falls to her death in Hong Kong after being left home alone over fears of coronavirus. [HK01]