Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kwan HIV Wakati Inaripuka MUNGU Alikua Hajamaliza Uumbaji ?!

Wakati EBOLA Inaripuka Nayo Ilikuaje ?!

Wakati Malaria Yanazuka Ilikuaje Ama ulishawahi Kusikia Kina Yesu Huko Wanaugua Maradhi yaajabu ajabu kama hayo


Nandio maana yanaitwa maradhi ama magonjwa yamripuko kwasababu awali hayakuwepo ila kuna uwezekano muda wowote yanatifuka tuu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala popo hawajaanza zaman sana na pia wala nyoka
Na kuna magonjwa yanakuwepo ila yanabadirika kutokana na evolution
Ila tatizo linakuja pale mutation inapotokea,
Ndo maana ata kuna paka mdogo na paka Simba
Magonjwa haya hivi vijidudu vinabadirika kutokana ja evolution kama viumbe vyote
Vinaitwq corona virus kutokana na aina ya hivi vijidudu na orijin yake yaan ni common ila aina hyo ni tofauti na vilivyozoeleka

Kakupa mfano mzr
Ni binadam wachache sana wana ebola, ila elliens wangekuwa wanakula binadam siku wakila mtu mwenye ebora (ambao ni watu wachache wenye nao) basi kizazaa kitatokea uko kwao
Same applies,
Though usemavyo napo ni possibility imetengenezwa
Hakuna ajuae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu na hao wengine wanaoambukizwa mfano Wataliano, wairaki, Wairani nao wanakula popo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
It only take one social person for the desease to spread worldwide
Especially this
Sent using Jamii Forums mobile app
 
All those are man made

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Science ya humans kama hufatilii haijafikia kama unavyodhani
How can you genetic engineer something with no DNA???
What humans are good at is spreading something thats already there
Ndo maana adi leo hamna dawa indipendent inayopigana na wadudu ata bacterias
Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Hali ilivyo nchini Italia baada ya kuzuka kwa kasi kubwa kwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo

Manunuzi ya mapema ya bidhaa mbalimbali hususani vyakula yamekuwa makubwa isivyo kawaida katika maduka na masoko kutokana na mlipuko wa virusi hivyo hususani katika maeneo yaliyoathirika zaidi.

 
Wenye HIV wanaotumia ARV hawatakufa, maana inasemwa kuwa dawa zinazowasaidia wagonjwa wa Corona ni doze ya ARV
Immunity yao ipo chini Corona ataishusha zaidi despite ya hizo ARV wanazotumia. Ni kweli wanawapa ARV ila na dawa zingine pia. Immunity ya mtu ndo inapambana zaidi against hawa Corona.
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 19 vimeripotiwa na kufikisha jumla ya visa 219 nchini humo hadi sasa huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
 
Duh noma kweli ili wakae ndani wajifungie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…