Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

China

Serikali ya China imetangaza vifo bua Madakatari 2 waliokuwa wakisaidia kutibu wagonjwa wa Corona.

Wahudumu wa Afya zaidi ya 3000 waambukizwa Corona wakiwa kazini.

Imetangaza kuwa 42pc ya wagonjwa wamepona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila watu mahaba na chuki zimewatawala sana.... Mtu anaamini 100% kwamba Iran anatoa data za uongo kuhusu ugonjwa... Bila ushahidi wowote... Viti kuhusu mataifa mengine ambayo maambukizi ni mengi kuliko Iran Ila vifo ni vichache kuliko Iran... Wao hawafichi Data..???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Iran si nilisom kwenye huu uzi kuw wamepata dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thubuuuutu!! Bado wanahaha tu na Ugonjwa unawakata Kama kuku wa mdondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ISRAEL washafanya yao sasa sijui ni kweli au habari za uzushi ngoja tupate update zaid kuhakisha km ni kweli

Israel announces Corona Virus Break through

sema nn huu ugonjwa unanikumbusha seriez ya lastship season 1 kila taifa linataka lionekane kinara wa kwanza kwa kupata CURE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suesi Huko ni kujiua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran anatoa data za ukweli na za kiserikali
Ila kuna ile wagonjwa wa maralia walioripoti hospitalin ni 1000 ila inajulikana Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 10000 ila wengi hawajulikani na serikali maana sio wote wameenda serikali, tunakisia kutokana na wengi wanaotoka maeneo hayo ni wagonjwa

Ko inamaanisha myb wagonjwa wengi hawajapimwa na serikali haiwajui, sio lazima kufix data
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema raia wangejitokez kupima😷😷
 
😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😞
 
Hawa Iran si nilisom kwenye huu uzi kuw wamepata dawa?
Hakuna dawa la virusi vyovyote (corona, mafua, ebola...) isipokuwa kinga cha mwili.
Kwa virusi kadhaa kuna chanjo; chanjo linapunguza hatari ya maambukizi lakini si tiba.
 
UPDATE: Italia imeripoti visa vipya 566 nchini humo sambamba na vifo vipya vitano (5).

Ongezeko hilo linapelekea idadi wa visa vyote nchini humo kufikia 1,694 huku idadi ya vifo vyote ikifikia 34.

Italia ni nchi ya tatu kwa kuripoti visa vingi zaidi duniani hadi sasa huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuendelea kuripotiwa nchini humo.
 
Kulingana taarifa ya jana ya waziri wa afya ummy mwalimu, nina kila sababu ya kuisi kwamba ugonjwa umefika tz ila labda wanaficha tu kwasababu tayar walishafanya makosa ya kuwakaribisha wachina ambao kimsingi ndio super-spreader,
Kauli inayonipa shaka mpk ss
1. Kutoa agiza kwa kila mkuu wa mkoa kuandaa sehemu ambayo watahifadhiwa watakaostukiwa kuwa nao
2. Ujaji wa wageni elfu 11 na wote kuwa salama hali ya kuwa huu ugonjwa huwa unavumbuka mpk siku 14 mara baada ya mgonjwa kupata maambukizi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia wameagiza kila hospitali iwe na akiba ya kutosha ya mask
 
Nilijua nashangaa mm tu asee [emoji3][emoji16][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili sasa hua sio ttzo la kiserikali maana serikali wanatoa data ambazo wamezipokea wao na wanazo

Hizo za wagonjwa ambao pengne wapo hme ama hawajapimwa wala sio kosa lao


Ila binafsi nimekuelewa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…