FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #1,421
Visa vipya vinazidi kuripotiwa barani Afrika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mzigo ngozi nyeusi hautuhusu... Wenyewe hapo China wamekiri weusi tuna immunity 3 times stronger than other races. Kinga yetu ya mwili Ni balaa.
Unajua virus wote ni mafua ndo maana mucus na moisture ya kwenye ubongo inakuwa disturbed then makamasi yanatiririka hata HIV Ni mafua tu sema HIV inakaa muda mrefu na kudhoofisha immunity na kazi hiyo inamchukua HIV virus zaidi ya miaka 10 kuibomoa Kinga Hadi ifike stage ya AIDS yaani upate upungufu wa Kinga mwilini.
Sasa huyu kirusi wa Corona yeye anavamia na kubomoa cells na kuvujisha maji mwilini yanayoenda kwenye mapafu na kusababisha pneumonia ambayo technically inasababishwa na kujaa Mani kwenye mapafu victim anashindwa kupumua na kufariki dunia.
Sasa Ni Bora HIV utaishi miaka zaidi ya 10 ukipata na dawa unaongeza 20 nyingine.
Corona yenyewe ukikosa vifaa vizuri vya kukuattend hali yake inakuwa Kama mtu aliezama kwenye maji na kunywa maji mengi yakajaa kwenye mapafu then akafa maji.
Nikipata muda nitaelezea zaidi, naangalia El classico now.
Paula Paul X-ray waione
Do you understand?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you Vida, naendelea kujifunza.Huu mzigo ngozi nyeusi hautuhusu... Wenyewe hapo China wamekiri weusi tuna immunity 3 times stronger than other races. Kinga yetu ya mwili Ni balaa.
Unajua virus wote ni mafua ndo maana mucus na moisture ya kwenye ubongo inakuwa disturbed then makamasi yanatiririka hata HIV Ni mafua tu sema HIV inakaa muda mrefu na kudhoofisha immunity na kazi hiyo inamchukua HIV virus zaidi ya miaka 10 kuibomoa Kinga Hadi ifike stage ya AIDS yaani upate upungufu wa Kinga mwilini.
Sasa huyu kirusi wa Corona yeye anavamia na kubomoa cells na kuvujisha maji mwilini yanayoenda kwenye mapafu na kusababisha pneumonia ambayo technically inasababishwa na kujaa Mani kwenye mapafu victim anashindwa kupumua na kufariki dunia.
Sasa Ni Bora HIV utaishi miaka zaidi ya 10 ukipata na dawa unaongeza 20 nyingine.
Corona yenyewe ukikosa vifaa vizuri vya kukuattend hali yake inakuwa Kama mtu aliezama kwenye maji na kunywa maji mengi yakajaa kwenye mapafu then akafa maji.
Nikipata muda nitaelezea zaidi, naangalia El classico now.
Paula Paul X-ray waione
Do you understand?
Sent using Jamii Forums mobile app
Propaganda za maji taka! Hakuna ushahidi wa kitaalam kuwa corona haiwahusu watu weusi, kama ushahidi upo weka hapa!Huu mzigo ngozi nyeusi hautuhusu... Wenyewe hapo China wamekiri weusi tuna immunity 3 times stronger than other races. Kinga yetu ya mwili Ni balaa.
Unajua virus wote ni mafua ndo maana mucus na moisture ya kwenye ubongo inakuwa disturbed then makamasi yanatiririka hata HIV Ni mafua tu sema HIV inakaa muda mrefu na kudhoofisha immunity na kazi hiyo inamchukua HIV virus zaidi ya miaka 10 kuibomoa Kinga Hadi ifike stage ya AIDS yaani upate upungufu wa Kinga mwilini.
Sasa huyu kirusi wa Corona yeye anavamia na kubomoa cells na kuvujisha maji mwilini yanayoenda kwenye mapafu na kusababisha pneumonia ambayo technically inasababishwa na kujaa Mani kwenye mapafu victim anashindwa kupumua na kufariki dunia.
Sasa Ni Bora HIV utaishi miaka zaidi ya 10 ukipata na dawa unaongeza 20 nyingine.
Corona yenyewe ukikosa vifaa vizuri vya kukuattend hali yake inakuwa Kama mtu aliezama kwenye maji na kunywa maji mengi yakajaa kwenye mapafu then akafa maji.
Nikipata muda nitaelezea zaidi, naangalia El classico now.
Paula Paul X-ray waione
Do you understand?
Sent using Jamii Forums mobile app
You are doing good work FRANC.NEWS ALERT: The woman and her daughter, who have been confirmed as new coronavirus cases in Algeria, in February hosted an 83-year-old man and his daughter based in France who were tested positive for coronavirus after their return to France, the statement said.
Algeria last week announced its first coronavirus case, an Italian national who arrived in the country on Feb.17. He was later flown home to Italy, which has almost 1,700 cases. [Reuters]
UPDATE: Marekani imeripoti visa vipya vitano (5) nchini humo sanjari na kifo kipya kimoja (1).
Visa vinne (4) kati ya hivyo vimeripotiwa katika jimbo la Washington;
- Wanawake wawili, mmoja katika miaka yake ya 80 na mwingine mwenye miaka ya 90 wanaokabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
- Mwanaume mmoja katika miaka yake ya 70 anayekabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
- Mwanaume mmoja pia katika miaka yake ya 70 aliyekuwa akikabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya ambaye ameripotiwa kufariki dunia mnamo Februari 29
Kisa kingine kimoja (1) kimeripotiwa katika jimbo la New York ambapo mgonjwa huyo alirejea hivi karibuni nchini humo akitokea nchini Iran.
UPDATE: Meli ya Diamond Princess
Visa vipatavyo 705 vimeripotiwa katika meli hiyo huku wagonjwa wapatao 36 wakiripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi huku wengine 10 wakiripotiwa kupata nafuu.
Idadi ya vifo kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kwa wagonjwa waliokuwemo katika meli hiyo ni sita (6) hadi sasa.
View attachment 1374159
NEWS ALERT: Japan and China have agreed to delay Chinese President Xi's state visit to Japan amid the outbreak of coronavirus, source says. [Reuters]
Nadhani sasa dunia yote inaongea lugha mojaUPDATE: Marekani imeripoti visa vipya vitano (5) nchini humo sanjari na kifo kipya kimoja (1).
Visa vinne (4) kati ya hivyo vimeripotiwa katika jimbo la Washington;
- Wanawake wawili, mmoja katika miaka yake ya 80 na mwingine mwenye miaka ya 90 wanaokabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
- Mwanaume mmoja katika miaka yake ya 70 anayekabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
- Mwanaume mmoja pia katika miaka yake ya 70 aliyekuwa akikabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya ambaye ameripotiwa kufariki dunia mnamo Februari 29
Kisa kingine kimoja (1) kimeripotiwa katika jimbo la New York ambapo mgonjwa huyo alirejea hivi karibuni nchini humo akitokea nchini Iran.
sema raia wangejitokez kupima[emoji40][emoji40]
FRANCE THE GREAT
Wewe umejuaje Kama sio weusi , maana nchi hizo pia zina watu weusiAlgeria, misri, ni inchi za kiarabu zilizopo africa same as iran, oman na hao waarabu pia tumeona wameathirika na corona,
still i hope black hapati madhara na corona virus. Let us wait
Sent using Jamii Forums mobile app