Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Chief, inaonekana una shauku kubwa sana ya kuona mtu mweusi anapata huu ugonjwa.
Kwanini?
Hajielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief, inaonekana una shauku kubwa sana ya kuona mtu mweusi anapata huu ugonjwa.
Kwanini?
Unajua Chief, hili gonjwa ni baya kweli, linavyoonekana ni kama vile weusi wote tumewekwa kando na hili gonjwa.Chief, inaonekana una shauku kubwa sana ya kuona mtu mweusi anapata huu ugonjwa.
Kwanini?
UPDATE: Ujerumani
Visa vipya 20 vimeripotiwa na kufikisha jumla ya visa 150 nchini humo hadi sasa huku wagonjwa 16 wakiripotiwa kupata ahueni na wengine wawili (2) wakiwa mahututi.
Mpaka sasa, Ujerumani haijaripoti kifo chochote kinachohusishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) nchini humo.
Unajua Chief, hili gonjwa ni baya kweli, linavyoonekana ni kama vile weusi wote tumewekwa kando na hili gonjwa.
Yaani kote duniani mweusi anadunda tu!!?
Ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276][emoji276]
[emoji121][emoji121][emoji121]never die with flu
Hahahaha mkuu umenitoa stress.
Marekani wanalia huko kwa beberu vipimo vya Corona kwa mtu mmoja ni dollar $3400 kwa kila kichwa. takribani milion 7. Asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia bongo umeingia,kuna wagojwa aghakhan .
Hii itakuwa habari ya kweli au uzushi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu kwa kuendelea kutuletea taarifa za papo kwa hapo ..UPDATE: Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa barani Africa nchini Senegal
Raia wa Ufaransa ambaye amekuwa akiishi nchini Senegal kwa zaidi ya miaka miwili amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
Mtu huyo alisafiri kuelekea nchini Ufaransa katikati mwa mwezi Februari na kisha kurejea Senegal mnamo Februari 26 ambapo alikwenda katika kituo cha afya baada ya kuanza kuhisi homa na kichwa kuuma, Wizara ya afya ya Senegal imethibitisha.
Mgonjwa huyo tayari amewekwa katika uangalizi maalumu mjini Dakar nchini humo ambapo kisa hiki ni cha kwanza kuripotiwa nchini Senegal.
Taarifa zaidi zitafuata.