FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,481
Kuna Mjerumani anahisiwa kuwa na COVID-19 huko Mombasa ambaye tayari amekwishawekwa katika uangalizi maalumu.Mkuu naona voice note inatembea mitandaoni kuwa Kenya , hii habari hii kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeki! Huyu kirusi ni kama anatuzingira ili akianza kushambulia anatokea kila pembe ya nchi yetu.Kuna Mjerumani anahisiwa kuwa na COVID-19 huko Mombasa ambaye tayari amekwishawekwa katika uangalizi maalumu.
Taarifa zaidi zitafuata.
Dadeki! Huyu kirusi ni kama anatuzingira ili akianza kushambulia anatokea kila pembe ya nchi yetu.
Mombasa ni jirani sana na bongo.
Kinachotia moyo ni kwamba bado wanaoripotiwa ni races nyingine kabisa na weusi.
Ameenda hospital baada ya dalili za ugonjwa kuanza kujitokeza, possibly ameshaambukiza wengine huko Ufaransa na Senegal pia.UPDATE: Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa barani Afrika nchini Senegal
Raia wa Ufaransa ambaye amekuwa akiishi nchini Senegal kwa zaidi ya miaka miwili amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
Mtu huyo alisafiri kuelekea nchini Ufaransa katikati mwa mwezi Februari na kisha kurejea Senegal mnamo Februari 26 ambapo alikwenda katika kituo cha afya baada ya kuanza kuhisi homa na kichwa kuuma, Wizara ya afya ya Senegal imethibitisha.
Mgonjwa huyo tayari amewekwa katika uangalizi maalumu mjini Dakar nchini humo ambapo kisa hiki ni cha kwanza kuripotiwa nchini Senegal.
Taarifa zaidi zitafuata.
Hali ni mbaya sana Italia.UPDATE: Italia
Visa vipya 340 vimeripotiwa nchini humo sanjari na vifo vipya 18 huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
Ongezeko hilo linapelekea idadi ya visa vyote nchini humo kufikia 2,036 huku idadi ya waliokufa kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini humo ikifikia 52 hadi sasa.
Mungu atuepushe.Mungu ametufunika tu, tumepitia majanga mengi Waafrika, hili Mungu atuepushe nalo ni zito sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ikipita siku 14 kutoka leo hakuna nchi ya afrika mashari iliyo pata maambukizi,basi hili janga si letu bali ni la wenzetuNa target ya hao wachawi weupe ni weuisi, ukipiga hodi kwenye hii foolish body , black skin, bastard braid hakika tutaisha wote waje kumiliki kiulaiini rasilimali zetu [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, ngoja tuone, uzuri kuna baadhi ya nchi barani Africa wamewarudisha wagonjwa huko walikotoka, bora kujilinda.ikipita siku 14 kutoka leo hakuna nchi ya afrika mashari iliyo pata maambukizi,basi hili janga si letu bali ni la wenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app