Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kuna Mjerumani anahisiwa kuwa na COVID-19 huko Mombasa ambaye tayari amekwishawekwa katika uangalizi maalumu.

Taarifa zaidi zitafuata.
Dadeki! Huyu kirusi ni kama anatuzingira ili akianza kushambulia anatokea kila pembe ya nchi yetu.
Mombasa ni jirani sana na bongo.
Kinachotia moyo ni kwamba bado wanaoripotiwa ni races nyingine kabisa na weusi.
 
Kuhusiana na audio iliyovuja kutoka Wizara ya afya ya Kenya, Wizara imekwishatoa ufafanuzi kuhusiana na hilo kwamba ilikuwa ni sehemu ya mazoezi ya utayari kwaajili ya kukabiliana na mlipuko wa COVID-19.

Wizara imeendelea kusisitiza kuwa, hakuna kisa chochote kile cha COVID-19 kilichothibitishwa nchini humo hadi sasa.
 
Mungu ametufunika tu, tumepitia majanga mengi Waafrika, hili Mungu atuepushe nalo ni zito sana
Dadeki! Huyu kirusi ni kama anatuzingira ili akianza kushambulia anatokea kila pembe ya nchi yetu.
Mombasa ni jirani sana na bongo.
Kinachotia moyo ni kwamba bado wanaoripotiwa ni races nyingine kabisa na weusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Kisa kipya barani Afrika na cha kwanza nchini Morocco.

Wizara ya afya ya nchi hiyo imethibitisha kisa cha kwanza kwa raia wa nchi hiyo ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Casablanca.

Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye.
 
NEWS ALERT: Morocco's first case of coronavirus

The man is currently receiving health care at a hospital in Casablanca and his health condition is not critical, Morocco’s health ministry said in a statement without further details. [Reuters]
 
BREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 125 pamoja na vifo vipya 31 nchini humo. Visa 114 kati ya hivyo pamoja na vifo vyote 31 ni kutoka katika mkoa wa Hubei pekee.
 
UPDATE: Ujerumani imeripoti visa vipya saba nchini humo na kufikisha jumla ya visa 165 nchi nzima huku wagonjwa wawili (1) wakiripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi na wengine 16 wakipata ahueni.
 
NEWS ALERT: China’s efforts to control the spread of the new coronavirus have resulted in a steep drop in carbon emissions and other pollutants. China has imposed travel bans and placed around 70 million people under virtual quarantine. [AP]
 
NEWS ALERT: Italian schools go digital as coronavirus shuts classrooms

Schools in several areas have been closed since the coronavirus outbreak just over a week ago and authorities have had to improvise to keep classes going, using school digital platforms and services like Skype, Microsoft Teams or Google Classroom. [Reuters]
 
NEWS ALERT: U.S. sportswear giant Nike said on Monday its European headquarters in the Netherlands would be closed until Wednesday after an employee was infected with the new coronavirus.

“We are aware of an employee coronavirus (COVID-19) case. Out of an abundance of caution, we are conducting a deep cleaning of the (European headquarters) campus,” the company said. [Reuters]
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya 477 pamoja na vifo vipya sita (6) nchini humo na kufikisha jumla ya visa 4,812 pamoja na vifo 34.

Wagonjwa wapatao 45 wameripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi huku wengine 26 wakiripotiwa kupata nafuu.
 
UPDATE: Hadi hivi sasa, visa vya COVID-19 vipatavyo 90,917 vimeripotiwa duniani huku idadi ya waliokufa kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona ikifikia 3,123 ulimwenguni kote kulingana na takwimu rasmi.
 
UPDATE: Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa barani Afrika nchini Senegal

Raia wa Ufaransa ambaye amekuwa akiishi nchini Senegal kwa zaidi ya miaka miwili amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mtu huyo alisafiri kuelekea nchini Ufaransa katikati mwa mwezi Februari na kisha kurejea Senegal mnamo Februari 26 ambapo alikwenda katika kituo cha afya baada ya kuanza kuhisi homa na kichwa kuuma, Wizara ya afya ya Senegal imethibitisha.

Mgonjwa huyo tayari amewekwa katika uangalizi maalumu mjini Dakar nchini humo ambapo kisa hiki ni cha kwanza kuripotiwa nchini Senegal.

Taarifa zaidi zitafuata.
Ameenda hospital baada ya dalili za ugonjwa kuanza kujitokeza, possibly ameshaambukiza wengine huko Ufaransa na Senegal pia.
Maana nimesikia huu ugonjwa unachukua siku 14+ mpaka dalili za muathirika kuanza kujitokeza.
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 340 vimeripotiwa nchini humo sanjari na vifo vipya 18 huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.

Ongezeko hilo linapelekea idadi ya visa vyote nchini humo kufikia 2,036 huku idadi ya waliokufa kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini humo ikifikia 52 hadi sasa.
Hali ni mbaya sana Italia.
Ligi kuu ya mpira wa miguu Italia itasimamishwa sio muda.
 
Na target ya hao wachawi weupe ni weuisi, ukipiga hodi kwenye hii foolish body , black skin, bastard braid hakika tutaisha wote waje kumiliki kiulaiini rasilimali zetu [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
ikipita siku 14 kutoka leo hakuna nchi ya afrika mashari iliyo pata maambukizi,basi hili janga si letu bali ni la wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom