robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
tumefanana mawazo, kwamba ni muda sasa Afrika kuitawala dunia.Inabidi nchi za kiafrica zifanye confirmation haraka kujua kama huu ugonjwa hautuathiri sisi ngozi nyeusi ili itumie hii fursa kuwapeleka vijana wetu wakapige kazi huko china na nchi zilizoathiriwa.
Inawezekana hii ndio fursa ya pekee iliyoletwa na Mungu ili kumkomboa mwafrica kutoka kwenye lindi la umaskini
Dunia ndogo Wakati flat Earthers wanasema baada ya ukuta wa barafu Antarctic kuna mabara 35 yanayo endelea kabla ya kufika kwenye kizuizi cha Dome ya kioo!Safi saana... Corona kamua baba...usitumie hirizi population ya Dunia ipungue watu tumefika billions kadunia kenyewe kadogo.
We are overpopulated.... Please depopulates us friendly.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona update za china wanazotoa zimekaa kimapishi mapishi sana,,,,wachina wawe wakweli bhanaUPDATE: China
Mpaka sasa, China imekwisha ripoti visa vipatavyo 80,151 vya COVID-19 nchini humo huku wagonjwa wapatao 6,806 wakiripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi na wengine 47,204 wakiripotiwa kupata nafuu.
China imekwisha ripoti vifo vipatavyo 2,943 vilivyotokana na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) nchini humo hadi hivi sasa.
Unaamini zile theory zao?Dunia ndogo Wakati flat Earthers wanasema baada ya ukuta wa barafu Antarctic kuna mabara 35 yanayo endelea kabla ya kufika kwenye kizuizi cha Dome ya kioo!
Sijawahi amini kitu kama hicho!
Mbona update za china wanazotoa zimekaa kimapishi mapishi sana,,,,wachina wawe wakweli bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo keshaamini huyo mkuu, watu kama hao kuwabadirisha na darasani waliingia inakuwa tabu sana.
Nmecheka kama mazuri[emoji23] kufa kufaanaInabidi nchi za kiafrica zifanye confirmation haraka kujua kama huu ugonjwa hautuathiri sisi ngozi nyeusi ili itumie hii fursa kuwapeleka vijana wetu wakapige kazi huko china na nchi zilizoathiriwa.
Inawezekana hii ndio fursa ya pekee iliyoletwa na Mungu ili kumkomboa mwafrica kutoka kwenye lindi la umaskini
Kwakua ushafika kwamalkia nawaomba sana na nawashauri sana waakhirishe epl tulikua hatuombi ufike ila madam ushafika epl ife liva wakaetena bila kombe [emoji23][emoji16][emoji3][emoji12][emoji14]UPDATE: Uingereza
Visa vipya 10 vimeripotiwa nchini Uingereza na kufikisha jumla ya visa 51 huku wagonjwa wapatao nane (8) wakiripotiwa kupata nafuu.
Mpaka sasa, Uingereza haijaripoti kifo chochote kile kinachohusishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) nchini humo.
Dunia Ipi MKUU [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza huko wala usifike huku huku tu kwakawaida kuna sehemu kubwa sana ambayo bina adam hajaigusa wala kuigusa katika makazi viwanda hata kilimo pia yaani nisehemu ipo tu imekaaDunia ndogo Wakati flat Earthers wanasema baada ya ukuta wa barafu Antarctic kuna mabara 35 yanayo endelea kabla ya kufika kwenye kizuizi cha Dome ya kioo!