FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,741
ha ha ha mkuu umenichekesha eti naiwe hivyo usipatikane
dah ! sema tuombe hilo janga iwe kweli halimuathili black people mana km ni kusema joto nchi zenye joto zisharepotiwa tayari kuwa na maambukizi
hvyo tuombe uwe ugonjwa wa wanaojiweza hao weupe
we fikilia hongkong tu imegawa zaidi ya mln 1 na ushehe kwa kila mwananchi wake zakujikimu
wkt ITARY yeye katenga zaidi ya trilion 17 kupambana kuhakikisha wananchi wake wanabaki salama
wkt hapa bongodasilamu likitokea tetemeko tu yeye hajaleta tetemeko na pesa za rambirambi zinaliwa
sasa ikija hiyo COVID-19 maiti si zitagaa mtaani tu mana tutakimbiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Update ya Zanzibar iko wapi?[emoji18][emoji18][emoji18]
Mpaka viongoziNEWS ALERT: Kiongozi wa chama cha siasa cha Democratic cha nchini Italia ametangaza kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
Nicola Zingaretti, ambaye ni katibu mkuu wa chama hicho, ameyasema hayo baada ya kufanyiwa vipimo ambapo kwa sasa amejitenga.
View attachment 1379966
Wazungu bhana kajitenga kwa vijimafua tuNEWS ALERT: Kiongozi wa chama cha siasa cha Democratic cha nchini Italia ametangaza kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
Nicola Zingaretti, ambaye ni katibu mkuu wa chama hicho, ameyasema hayo baada ya kufanyiwa vipimo ambapo kwa sasa amejitenga.
View attachment 1379966
hivyo virusi vikimuona mtu mweusi vinakimbia haswanaiwe hivyo hivyo uthibitisho usipatikane kwa mtu mweusi...
maana mtu mweusi na mizigo mingi sana na ndio imemkomaza hata kuhimili baadhi ya infection ya virusi.