FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,861
Hiyo sheria ya kudhibiti kuzaliana walishaiondoa.Miaka ya mbele China wataruhusu kuzaa watoto zaidi ya wawili au watatu kufidia population
Sent using Jamii Forums mobile app
MPYA: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 24 pamoja na vifo vipya 22 nchini humo.
Hadi hivi sasa nchini China;
- Visa 80,778 vimethibitishwa
- Vifo 3,158 vimethibitishwa
- 4,492 wako katika hali mbaya zaidi
- 61,475 wamepata ahueni
Hesabu haidanganyi Mkuu..
Hesabu haidanganyi Mkuu..
Tupe majibu sahihi uliyopata baada ya kuhesabu.
ππππ nimecheka utadhani mazuriUkichukua total cofirmed cases toa recoveries na death unapata (80778-(61475+3158)= 16145)
Kwa maneno mengine mpaka sasa wagonjwa walioko china ni kwenye elf16 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wakati mahospitali yamefurika
Sent using Jamii Forums mobile app
@RootNEWS ALERT: UK health minister diagnosed with coronavirus
U.K. Health Minister Nadine Dorries became the first British MP to test positive for the coronavirus on Tuesday and is recovering at home.
View attachment 1383799
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimecheka utadhani mazuri