FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #381
Wanaripotiwa.Mbona hamripoti waliougua na kupona?
Idadi yao katika ripoti ya hii leo rejea posts za leo namba 350 na 351 katika uzi huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaripotiwa.Mbona hamripoti waliougua na kupona?
Waseme ukweli muache enda China?Wakuu mazingira ya utoaji taarifa China ni sahihi? Wadau wengine kama WHO na mataifa washirika wanapata fursa kuratibu taarifa sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninahisi hawatoi taarifa sahihi, picha za Wuhan city mitaa ipo wazi jiji la watu 11M!!
Asante mkuu FRANC THE GREATKorea Kaskazini: Kuna taarifa za uwepo wa visa vitano (5) mpaka saba (7) nchini humo lakini bado hakuna taarifa rasmi.
Tuendelee kusubiri.