Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Visa vipya 79 vimeripotiwa katika meli hiyo. Idadi ya visa vyote katika meli hiyo imeongezeka mpaka kufikia 621.

Hadi hivi sasa, jumla ya watu 3,011 wamekwishafanyiwa vipimo.

ERJMY8wW4AA0rfo.jpeg
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya vitano (5), ambapo jumla ya visa 20 vimeripotiwa nchini humo ndani ya siku moja huku idadi ya visa vyote ikifikia 51 nchini humo.
 
UPDATE: Jumatano, Februari 19.
  • Visa vipya kumi (10) nchini Japan tofauti na vya meli ya Diamond Princess. (Jumla 84)
  • Visa vipya vitatu (3) Singapore (Jumla 84)
  • Kisa kipya kimoja (1) Hong Kong (Jumla 63)
 
Coronavirus so far today:
  • 20 new cases in South Korea (51 total)
  • 10 new cases in Japan (84 total)
  • 79 new cases on Diamond Princess (621 total)
  • 3 new cases in Singapore (84 total)
  • First 2 presumptive cases in Iran
  • 1 new case in Hong Kong (63 total)
 
Kuna haja nchi za bara la Afrika kuanzisha taasisi ya pamoja ya kiuchunguzi na udhibiti wa maradhi hatari kama hayo.

Maana huko mbele sioni usalama wetu upo wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maono yangu ni kuwa hatuna pa kukimbilia kama sio sisi ni watoto wetu tutakufa wote kwa magonjwa ya kutengenezwa ni suala la mda tu huku ndio Mars kwao watakapo amia!
Ndio maana wanalinda sana misitu na uhifadhi wa wanyama pori!!!
 
UPDATE: Vifo vya kwanza vimeripotiwa nchini Iran.

Vifo hivyo ni vya watu wawili walioripotiwa kuwa na maambukizi hapo awali hii leo ambao hawakuwahi kusafiri nje ya nchi hiyo.
Virus wamefikaje sasa Iran!
Hii inaweza kuwa kwa makusudi kabisa hawa virus wanatapanywa nini?
 
Kumekuwa na cases mbalimbali za watu kubainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 lakini hawakuwahi kusafiri kabisa nje ya nchi zao.

Hii ni hatari sana na yawezekana kuwepo mtandao mkubwa sana wa maambukizi ya ndani (local transmission) unaozunguka visa vya namna hii ambavyo ni vigumu kubainika mapema.
 
Back
Top Bottom