FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #541
UPDATE: Visa viwili vya kwanza vimeripotiwa nchini Iran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu unaweza kubuni biashara nyingine hapa Tanzania.Thanks FRANC kwa updates...natamani Siku nipate updates zikionyesha kuwa hakuna Visa vipya!! Maana wafanyabiashara wadogo tumeshaanza kula mtaji!
Yaani nafuatilia kila saa hii habari, Tanzania nikisikia aaaahKuna haja nchi za bara la Afrika kuanzisha taasisi ya pamoja ya kiuchunguzi na udhibiti wa maradhi hatari kama hayo.
Maana huko mbele sioni usalama wetu upo wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wa chuma hao!UPDATE: Russia bans Chinese citizens from entering the country due to coronavirus. [Interfax]
Hongera Mkuu kwa updates
Mimi Updates zote za Covid-19 nafuatilia hapa tu pamoja na media outlets zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maono yangu ni kuwa hatuna pa kukimbilia kama sio sisi ni watoto wetu tutakufa wote kwa magonjwa ya kutengenezwa ni suala la mda tu huku ndio Mars kwao watakapo amia!Kuna haja nchi za bara la Afrika kuanzisha taasisi ya pamoja ya kiuchunguzi na udhibiti wa maradhi hatari kama hayo.
Maana huko mbele sioni usalama wetu upo wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Virus wamefikaje sasa Iran!UPDATE: Vifo vya kwanza vimeripotiwa nchini Iran.
Vifo hivyo ni vya watu wawili walioripotiwa kuwa na maambukizi hapo awali hii leo ambao hawakuwahi kusafiri nje ya nchi hiyo.