Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

mwamba hongera sana kwa kazi ya kutuhabarisha ila samahani ningependa kufahamu izi taarifa huwa unazipata wapi na kuhakikisha kuwa ni za kweli
Taarifa ni kutoka katika vyanzo mbalimbali vya kuaminika;
  • Vyombo mbalimbali vya habari duniani (News Media).
  • Mamlaka za nchi husika (Taasisi/Wizara za afya n.k. kupitia tovuti)
  • Taasisi za kimataifa. WHO n.k.
  • Vyanzo vingine
Takwimu ama ripoti zote ninazozileta humu zenye utangulizi "BREAKING", "UPDATE" au mara nyingine "NEW/MPYA" mwanzoni mwa taarifa hizo, ni rasmi na zimethibitishwa na mamlaka za sehemu husika ama taasisi zenye dhamana.

Taarifa zenye utangulizi "NEWS ALERT" ni kutoka katika media ama vyombo mbalimbali vya habari vya kuaminika.
 
Taarifa ni kutoka katika vyanzo mbalimbali vya kuaminika;
  • Vyombo mbalimbali vya habari duniani (News Media).
  • Mamlaka za nchi husika (Taasisi/Wizara za afya n.k. kupitia tovuti)
  • Taasisi za kimataifa. WHO n.k.
  • Vyanzo vingine
Takwimu ama ripoti zote ninazozileta humu zenye utangulizi "BREAKING", "UPDATE" au mara nyingine "NEW/MPYA" mwanzoni mwa taarifa hizo, ni rasmi na zimethibitishwa na mamlaka za sehemu husika ama taasisi zenye dhamana..

Taarifa zenye utangulizi "NEWS ALERT" ni kutoka katika media ama vyombo mbalimbali vya habari vya kuaminika.
Salute mkuu!
IMG_20200217_164247_963.jpeg
 
UPDATE: Iran

Balozi wa zamani wa nchi hiyo huko Vatican, Hadi Khosroshahi, ameripotiwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona. Shirika la habari la nchi hiyo IRNA limeripoti.
 
Kwanza vifaa vya kupimia tunavyo?
Yani tena sisi inawesekana tukapata mripuko wa hatari.Siamini Wachina na wageni wanavonichanganya huku hakuna case hata moja,na kama ni kweli,Mungu aendelee kututetea.Maana huu uchumi wetu na hali za kimaisha ni Corona Tosha.
So far hamna aliyetangazwa! na ni mmoja tu aliyeumwa na alipona!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono, jamaa anawajibika, hii ni zaidi ya kazi ya Mungu.
Mimi taarifa zote za janga hili nafuatilia uzi huu
Hongeda zake nyingi
Una moyo sana kijana
Watu kama nyie mnafaa sana kuwa viongozi ila cha ajabu viongozi wanakuwa watu wa ajabuajabu
Ningekuwa Magufuli uongozi nakupa fasta maana una juhudi za kipekee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kutafakari nimekosa majibu kwann wakenya wanataka kuhatarisha maisha yetu jamani hv umoja wa east africa hawaliona hili au

Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi sana. Huu ugonjwa ni kama kuuza nafsi za wananchi kwaajiri ya kujifanya roho nzuri natamaa ya fedha za utalii.

Hata wahudumu wa afya hawana uelewa wa kutosha kuhusu huu ugonjwa.
Pamoja na hayo hawana vifaa, vipimo wala hakuna sehemu rasmi kwaajiri ya waathilika.
Nchi zetu bado maskini tekinologia ya kuungaunga hata masks tunaagiza nje.
Pamoja na hilo ugonjwa hauna tiba wala kinga
Tuombe Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom