Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

K.u.m.m.ke walahiiiiii
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Shirika la afya duniani WHO limetoa ripoti ya ujumbe wa pamoja wa WHO na China kuhusiana na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19).

Ripoti katika muundo wa PDF, isome hapa;

Report of the WHO-China Joint Mission on Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
 
Attachments

Kama ni kweli basi serikali inawajibika moja kwa moja
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeelezwa kuwa, watu wasiopungua 210 wamekwishapoteza maisha nchini Iran kutokana na virusi vya Corona, kulingana na shirika la habari la BBC likinukuu vyanzo kutoka hospitali za nchini Iran.
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
napongeza serekali ya awamu ya tano kwa kutuletea TOYOTA COROLA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 233 vya COVID-19 pamoja na vifo vipya vinne (4) vimeripotiwa nchini humo.

Ongezeko hilo linapelekea idadi ya visa vyote mpaka sasa kufikia 888 nchini Italia huku idadi ya waliopoteza maisha kutokana na virusi vya Corona nchini humo ikifikia 21 hadi sasa.
 
Ndo wale watalii wa juzi nahisi
Serikali washenzi sana
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEWS ALERT: French health minister says several clusters of coronavirus identified, 19 new cases today.

He advises people not to shake hands, says coronavirus epidemic in France has entered a new stage. [BFM]
 
Coronavirus: 5 countries with the most cases so far according to official counts;
  1. China: 78,824 confirmed cases (2,788 deaths)
  2. South Korea: 2,337 confirmed cases (16 deaths)
  3. Italy: 888 confirmed cases (21 deaths)
  4. Iran: 388 confirmed cases (34 deaths)
  5. Japan: 226 confirmed cases (5 deaths)
 
UPDATE: Marekani imeripoti visa vipya viwili (2) ambavyo ni miongoni mwa abiria waliokuwemo katika meli ya Diamond Princess.

Mpaka sasa Marekani imeripoti visa 62 huku vingi kati ya hivyo ni kutoka katika meli ya Diamond Princess.
 
Back
Top Bottom