FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #1,341
UPDATE: Visa vipya vitatu (3) vimeripotiwa nchini Bahrain. Watu watatu waliorejea nchini humo wakitokea nchini Iran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mkuu kwa nchi za Algeria, na Nigeria kuliporipotiwa visa vya kwanza hakuna update yoyote ya either patients zaidi au recovery ya mgonjwa husika?UPDATE: Australia imeripoti kifo cha kwanza (1) kinachohusishwa na virusi vya Corona nchini humo. Ni miongoni mwa abiria waliokuwemo katika meli ya Diamond Princess.
Mkuu inamana Korea kaskazini bado hawana mgonjwa hata mmoja ama kunakitu kisicho eleweka.UPDATE: Korea Kusini
Visa vipya 376 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 3,526 vilivyothibitika hadi sasa nchi nzima huku idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona nchini Korea Kusini ni 17 hadi sasa.
Mkuu inamana Korea kaskazini bado hawana mgonjwa hata mmoja ama kunakitu kisicho eleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri kasema wageni hawana corona na ukumbuke Waziri wetu wa afya ni mjuzi sana ,tena kuliko mawaziri na wataalam wengine wa afya dunianNina swali: Pale airport mtu anapimwa na majibu yanasema negative, huyu kweli hawezi kuwa positive mbele za siku kadhaa??
Si tumeona nchi zingine mgonjwa anaonekana negative leo kesho yuko positive, hili suala vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app