Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hawajuti koz walitengeneza kwamalengo yao MaalumNa kama hii Corona ilikuwa ni engineered virus, hakika walioitengeneza watajuta mpaka basi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajuti koz walitengeneza kwamalengo yao MaalumNa kama hii Corona ilikuwa ni engineered virus, hakika walioitengeneza watajuta mpaka basi!!
Ww utafurahi ila mm ntafurahia zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]
Haha mkuu unapapenda sana kwa mtogoleHata huku kwetu Kwamtogole tumeacha kupeana mikono wakati wa kutakiana amani
Ndiyo homeHaha mkuu unapapenda sana kwa mtogole
Haya mtu kwaoNdiyo home
Sun Wukong taratibu!china takwimu wanazotoa hazina ukweli wowote.....wanadhani wanaidanganya dunia ila mwisho wa siku wanajidanganya wao
Mmmh! Mama yetu kimbilio la wenye shida, tumlilie sana atuombee kwa mwanae!Baba Mtakatifu aliongoza Misa Takatifu kwa njia ya video Jumapili iliyopita.
Hhhaaaaa!
Alikuwa Uingereza. Na Trump eti kakataza waulaya wote wasiende USA kasoro Uingereza. Ama kweli Akili ni mali.
Wachina inaelekea wameamua kila siku ipitayo waripoti visa vichache vichache ili kuuaminisha umma wao na ulimwengu kuwa wameuthibiti ugonjwa.
Huu ugonjwa uliathiri sana heshima na utu wa mchina duniani, sasa nadhani serikali yao imeamua kushusha data ili kuuonyesha ulimwengu kuwa this is not China virus but Whole world virus.
Mpaka kusiniNi Tanzania nzima nadhani.. Huku kaskazini pia wamezuia