JE CORONA INATOSHA KULIPA KISASI CHETU DHIDI YA WATU WEUPE?
Na, Robert Heriel
Haijalishi jamii yangu itanichukuliaje, itanifikiria vipi, huenda baadhi ya waafrika wenzangu wakaniona mimi ni mtu mbaya, tena nisiyefaa kwa lolote. Vyovyote mtakavyonifikiria, sitojali.
Kisasi lazima kilipwe, iwe leo au kesho lakini lazima kilipwe. Iwe na kizazi chetu, au kizazi kijacho au hata kizazi cha nne huko, lakini sharti kisasi kilipwe. Iwe ni miaka hii au miaka mia ijayo lazima kisasi tukilipe.
Hatuwezi kujisahaulisha, hatuwezi kuishi kama hatujui kilichotokea na kile kinachoendelea duniani. Tunajua kwa sasa tumedhibitiwa, na kinachosikitisha baadhi yetu wametusaliti na kuwa upande wa adui zetu. Ni sawa, hilo halitufanyi tusahau na kusamehe yaliyotokea.
Habari za kuteswa tunazikumbuka siku zote, kamwe na katu hatuwezi kuzisahau duniani tungalipo. Mauaji ya kikatili na utumwa waliofanyiwa wazee wetu bado ni deni kubwa tunalodaiwa. Lazima deni hili tulilipe.
Kusamehe na kuungana na watu waliowatesa Babu zetu ni kuwasaliti wazee wetu, ni kujisaliti sisi wenyewe. Ni dalili ya ujinga na kutojitambua.
Sisi sio kuku, wala sio ng'ombe ati wenzetu wakichinjwa na kuuawa tunaumia lakini tukiletewa mapumba na Majani tunasahau na kuanza kutaga mayai na kutoa maziwa kwa wale wale waliowaua na kuwatesa ndugu zetu utumwani. Hatuwezi kuwa hivyo, sisi ni watu bora zaidi kuliko wao. Ndio maana lazima tulipe kisasi kwa sababu sisi sio wanyama ambao hata ukimchinja mmoja wao wengine wanaendelea kukuhudumia.
Hatuwezi kusahau habari za utumwa, habari za ukoloni zilizoifanya jamii yetu kuwa hivi ilivyo. Na sasa bado upo ukoloni mamboleo ambao nao ni mwiba kwetu na kizazi chetu.
Kisasi hatutalipa kama tutakuwa tumeisha na kutoweka kabisa duniani. Lakini tungalipo basi kisasi kitalipwa tuu, kama Mungu aishivyo.
Jambo moja muhimu ni kuwa, haijalishi walitufundisha msamaha kupitia dini bandia, dini za kitumwa walizotupa, sisi hatutawasamehe na kisasi lazima kilipwe.
Tunajua wanafurahia tunapopatwa na matatizo, wanafurahia umasikini wa nchi zetu, wanafurahia njaa, na magonjwa yanayotupata huku kwetu. Hiyo wao hutumia kama sehemu ya kutugeuza sisi kama mifugo yao.
Sisi sio mifugo yenu, ati tukiwa na njaa mtupe chakula, tukiumwa mtupe madawa, tena muwe wasanifu wa miundombinu yetu.
Sisi sio kuku, ati kuku akiumwa kideri mumpe dawa naye kwa ukuku wake aone unamjali kumbe ni kwa sababu siku moja atakuwa kitoweo cha mfugaji. Sisi sio kuku wala mifugo, sisi ni watu.
Nilifurahi sana siku nimesikia Ugonjwa wa Corona huko Uchina wala nisiwe mnafiki. Sura yangu ilijawa na hamasa na shukrani kusikia habari hizo za kupendeza na kuvutia. Kila mara nilikuwa nafuatilia vyombo vya habari kujua ugonjwa huo umefikia kiwango gani. Furaha yangu ilizidi kufurika pale Corona ilipopasua anga na kuvunja kuta za mipaka ya china ikatapakaa karibu ulimwengu mzima. Heko nilitoa huku nikifurahi.
Ninafurahi ninapoona watu weupe wakitapa tapa kama vile jinsi wanavyotuonaga sisi tukitapa tapa tupatwapo na matatizo yetu. Wakati fulani nilikufuru na sijutii kufanya hivyo, nilitamani ugonjwa huu uwe na athari yenye kuua watu kwa upesi na wingi wenye kuwafanya watu weupe wapagawe. Hili nililiomba sana. Lakini ninasikitika nguvu ya Corona haijatimiza furaha yangu. Furaha ya kuona watu weupe wakipukutika kama mende.
Kituko kinachonichekesha ni kuwa watu weupe wanaufanya ugonjwa huu ni ugonjwa wa dunia nzima kwa sababu umewagusa wao, jambo ambalo sio kweli. Wazungu wanapenda jambo linalowatisha wao lionekane ni tishio dunia nzima jambo ambalo sio kweli.
Hii waliifanya hata kwenye vita walizoziita za dunia, yaani ilie vita walioiita ya kwanza ya dunia( 1914 - 1918) na vita ya pili ya dunia(1939 - 1945) Vita hizo zilikuwa vita zao wala hazikuwa vita za dunia kama walivyoamua kuziita. Tokea dunia kuumbwa hapajawahi kutokea vita ya dunia.
Corona haijalipa kisasi chetu, athari zake ni ndogo kabisa kwa hawa wenzetu.
Kama wanavyotudharau, wanavyotukejeli na kutupa majina mabaya. Iwe ni wao, au wananchi wao nasi hatuna budi kujibu mapigo iwe kwa namna hii au namna nyingine yoyote.
Nikimaliza, niwaombe Waafrika wote tuchukue tahadhari kwa ugonjwa huu wa Corona, tena nashauri huu ndio wakati wa kufanya mazoezi ya kukimbia kila asubuhi na kila jioni. Pia kunywa maji ya vugu vugu litamoja asubuhi kwa mkupuo na lita nyingi ya vuguvugu jioni kwa mkupuo. Ni sehemu ya kujikinga na Corona.
Ninaiomba serikali, yoo itulie tuu iachane na mambo haya. Ituachie sisi ili kulinda heshima ya nchi na serikali kupata utetezi ikiwa itahitajika kujieleza kwa maneno yoyote ya namna hii. Viongozi wa serikali wasitumie lugha hizi za kukera, vijembe na ubaguzi kwa maslahi ya kidiplomasia.
Bado hatujasahau, na kamwe hatuwezi jisahaulisha. Na lazima kisasi kilipwe iwe duniani, kuzimu au akhera yaani popote pale.
Taikon nimemaliza, leo sitaki maswali wala kupigiwa simu. Ahsanteni.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300 / 0711345431