Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Tembelea tovuti hii kupata live statistics za COVID19 :: Coronavirus Update (Live): 247,603 Cases and 10,064 Deaths from COVID-19 Virus Outbreak - Worldometer

Pia waweza kutembelea hapa kupata current population updates:: Worldometer - real time world statistics

Pia waweza kutembelea hapa kupata live statistics za afya, magonjwa na vifo:: Worldometer - real time world statistics


Corona-20March.png
 
First world comes at a first price as well. Wacha wakae juu
 
Idadi ya ya watu waliopona duniani kutokana na virus wa korona ni 89,070. Wakati zinazoshuhulikiwa zimebakia 154,456. Na 7,465 miongoni mwa hizo zinatarajiwa kuwa ni sugu na hazina matumaini ya kupona
corona-recovery.PNG
 
Mpaka kufikia tarehe 19/03/ 2020. Takriban watu 89,070 wamefanikiwa kupona. Kesi 99,477 zimeshafungwa kwakua 89,070 katika hizo zimekuwa discharged yaani wagonjwa wake wamepona. Lakini 10,407 katika hizo waathirika wake wamekufa. Zimebakia kesi 154,456 ndiyo ambazo zinaendelea kushuhulikiwa katika hizo watu 7,465 ndio kesi zao zimekuwa sugu na pengine zinatarajiwa kutopona.
corona-recovery.PNG



UZI HUU UTAKUWA UPDATED MARA KWA MARA KULINGANA NA TAARIFA MPYA ZIKITOKA
 
Back
Top Bottom