Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Ng'wanapagi, Huyo yawezekana alikuwa keshaunganishwa kwenye gridi ya taifa siku nyingi sana na pengine hiyo corona imekuja kummalizia tu!

Yaani kama ambavyo ungempiga mtu kofi hapo hapo aanguke chini na kufa halafu wewe ndo unapewa kesi ya mauaji kumbe mtu mwenyewe roho yake ilishaacha mwili siku nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu kuna watu wanakazinia ety huu ugonjwa unaua wazungu tu. Ujinga utawamaliza waafrika
InShot_20200323_161111313.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go, my people, enter your rooms and shut the doors behind you; hide yourselves for a little while until his wrath has passed by.
Isaiah 26:20
Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.
Isaya 26:20
 
Hiyo habari ya Zororo Makamba imekanushwa na Waziri wa Afya wa Zimbabwe.
""""
All Our Covid 19 virus suspects and patients are only admitted at Wilkins hospital, this is the only place of screening and treatment and if you say this is what has happened, I’m quite surprised, it would be a lie if you publish that there is a patient with coronavirus at Trauma

I’m not aware of that, neither have I ever come across that name Zororo Makamba, all our corona virus patients are admitted at Wilkins, its a lie that anyone who has been recorded and confirmed to have corona is admitted anywhere, we only have 1 suspect from Victoria falls and one from Harare who was in New York and that’s the official position."""

Health Minister responds to rumour of Zororo Makamba being Zimbabwe 2nd Coronavirus patient – The Zimbabwe Mail
 
Alafu kuna watu wanakazinia ety huu ugonjwa unaua wazungu tu. Ujinga utawamaliza waafrikaView attachment 1397068

Sent using Jamii Forums mobile app
Tudhibitishie Wa Afrika waliokufa kisa Corona maana hata hiyo idadi ya waliokufa Afrika wengi Ni wale watalii walikuwa Baran Afrika.

E.g Nigeria ndo nchi ya pili kuripot kisa Cha Corona Afrika baada ya Misri. Lakini mpaka leo hii hakuna Any Nigerian alikufa kisa Corona.
But, Corona imeingia Italy juzi tu lakini mpaka Sasa ishaua maelfu na maelfu.

Swali; je ndo kusema Nigeria ipo vizur kiteknolojia na kimatibab kupambana na corona kuliko Italy?.

Tuache hapo tuhamie hapa kwetu East Africa, mpk Sasa inaelekea mwezi 1+ tangu Corona iingie EA via Kenya, je umeshasikia Mtu yyte originated from East African countries kafa kisa Corona? Mbona USA kila siku wanaripot vifo vya Corona? Nikwamba Sisi EA tunawazid wamarekan kupambana na corona ama!?.

NOTE; Watu wanaposema Corona haiuwi kivile ngozi nyeusi wanamaanisha na washafanya utafti.. so nahisi siyo busara Sana kuwaita wajinga Bali hoja ndo mhimu.

"CORONA IPO NA INAUA TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI"[emoji40]
 
Back
Top Bottom