Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Covid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo

Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani

Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu

Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.
Ki
Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji
Mungu ni mwema, sidhani kama ataruhusu hii hali iendelee
 
Wenzenu wazungu wako Laboratory wanaumiza kichwa kupata tiba na chanjo za ugonjwa huu hatari , wewe kapuku umekunywa Castle light mbili unapitiwa na usingizi ukaanza kuota habari za corona kuisha unakuja kutuambia bila aibu eti corona itaisha ...

Kweli muafrica Ni sokwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje?
Covid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo

Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani

Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu

Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.

Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Covid-19 itapita baada ya wiki mbili zijazo

Hapa ni kuonyesha kuwa mwenyezi Mungu ameruhusu tujaribiwe na shetani

Nina imani ugonjwa huu utawafanya watu kuacha dhambi Duniani kama ushoga, ugaidi na uonevu

Mungu amejidhihirisha kwamba huwa yupo anatulinda tena ulinzi mkali ametuonyesha kwamba akituacha adui yetu atatuangamiza.

Tumulilieni muumba hatukujiumba tuacheni ujuaji
Hasa nyinyi waafirika. Acheni ujuaji
 
Back
Top Bottom