Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare



Hongera kama umeandika yote haya wewe mwathu
 
watani zangu hamjawahi kuniangusha, napenda sana vituko vyenu mkifanya kosa mnakaza na kukataa kabisa 😃😃
 
WATU bahiri zaidi ulimwenguni (Duniani)na ukanda mzima wa Africa ya mashariki na maziwa makuu☺️☺️😊😊

Cc.kuna bwana mdogo mmoja sikuwai kula pesa yake period!!🤣🤣🤣🤣😂😂
 
😅
Ila inatokana na uchumi tuu Mkuu.
Familia zenye kipato kikubwa huishi kulingana kipato hicho.

Wapare wanaishi maisha yao kulingana na kipato chao. Hakuna tamaa, hakuna kuiba,ni ngumu kukuta mpare anajiuza, umalaya wa kujiuza moja kwa moja.
Ninachompendea ni smart upstairs basi!na wanajali sana mambo ya elimu
 
Namwai nimemkumbuka demu wangu mzuri kweli nlishindwa kumuoa sababu ya uchawi kwao tuu bibi mzaa baba duuh! unatembelea familia unaambiwa ukienda kwa bibi na shangazi wakikupa kitu usile nikavaa xr nduki
 
Hayo makande hapana kwa kweli ... Nimeishi hapo Mkomazi na mazinde hakuna style wamepika nikayakubali kwa kweli hapana...

Kuna hayo wanaita "Magugu" yaani mahindi mazima hayajakobolewa wanachanganya na maboga ni hovyo kabisa ... Nilikula ilikuw ni mwezi wa Ramadhan nilitapika halafu makande yao hawaweki chumvi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…