Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Ni washirikina sijawahi ona,nilioa mwanamke wa kipare cha moto nimekiona,nimempa talaka lakini bado kaning'ang'ania tu mwange yule.
Hahahahahah Unakuta aliepost hivi ni mkinga au Muha ambako mpaka serikali imeamua kuingilia kati maana ni mzozo. 🤣
 
Maisha yamebadilika sana sikuhizi. Wapare waliostaarabika mbona wapo wengi tu. Hio mifano mnatolea ya Ma Layman huko Ndungu ni ya kizamani sana
Kweli ila wengi wao bado ni wale wale, Mpare anaenda hotelin anauliza chips shingap wanamwambia 5000, anauliza na kachumbari je wakimwambia kachumbari ni bure, unasikia nipe tu hiyo kachumbari chips ntawachangia nikipata hela!!
 
Ni ukweli halafu ukipata hata kodi yake anachukia nakukuliza umepatahe hiyo kodi , halafu ukiwahi kumpa hakupendi kabisa jingine anakera sana , anapenda uwe na maisha ya chini ukila vizuri anachukia sana
Duh pole sana mkuu
 
Kweli ila wengi wao bado ni wale wale, Mpare anaenda hotelin anauliza chips shingap wanamwambia 5000, anauliza na kachumbari je wakimwambia kachumbari ni bure, unasikia nipe tu hiyo kachumbari chips ntawachangia nikipata hela!!
Hahaha fix hizi😀
 
Hahahahah basi una bahati mbaya sana aisee.
Kwakweli 🤣 kuna siku nlikua napiga story na mdada ananisimulia rafiki ake anavomfanyia mambo meusi mengi mengi wamehamishiwa dom rafiki ake kishatangulia na kapata nyumba ameseto, ila anamuuliza mwenzie sa ukifika huku utafikia wapi? Nkamuuliza huyo rafiki ako ni mpare??? Akasema ndio🙌

Watu wa kutonga na bajeti msinimind nmeandika nlioyaona mie
 
Back
Top Bottom