Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahah kweli kipengele. Sema tabia za hovyo kila mtu anaweza kuwa nazo hasa ubinafsi ila sababu ni mada ya wapare wataangushiwa majumba mabovu mno.Kwakweli 𤣠kuna siku nlikua napiga story na mdada ananisimulia rafiki ake anavomfanyia mambo meusi mengi mengi wamehamishiwa dom rafiki ake kishatangulia na kapata nyumba ameseto, ila anamuuliza mwenzie sa ukifika huku utafikia wapi? Nkamuuliza huyo rafiki ako ni mpare??? Akasema ndioš
Watu wa kutonga na bajeti msinimind nmeandika nlioyaona mie