Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Aisee kuna kamoja Halima kalikua katamu sana,mungu akape maua yake.
Tulikua tunagaragazana kuanzia kwenye michongoma mpk kufika home kwake hoi,home mwanamke anapiga makelele "mamaa nakufaa,mamaa weeh" majirani wanakuja kugonga mlango wanafkiri kuna mtu anauliwa
kumbe anakula fimbu.
demu ndo kwanza anawaambia niacheni nife kwa raha zangu🤣🤣🤣.
Halima sikusahau,sikumbuki hata tuliachana vipi
Ubahili wa papuchi aisee hakua nao
Ha haaa Halima hapendi ujinga
 
Nishawahi kukaribishwa msosi na mpare, nilikuta makande yamepikwa kwa mahindi, maharage,njegere, njugumawe na mchicha😄
Nilitamani kusema sili cz huo mchanganyiko sio poa! Nikajikaza kijiko cha kwanza tu Makande matamu balaaaaaaaaaa!

Kilichofata nilipiga plate 2.
Hii imepita level za makande imeenda kwenye pilau 🤣🤣
 
Ni watu wa kuwakwepa kwa gharama yoyote. Hata kama ni jirani, jitahid ujenge ukuta mkubwa sana na geti liwe upande tofaut ili msikutane ukiwa unaingia/kutoka kwako.
Ha haaaa jamani mbona mnawatenga hivyo wakwe zangu
 
Kweli ila wengi wao bado ni wale wale, Mpare anaenda hotelin anauliza chips shingap wanamwambia 5000, anauliza na kachumbari je wakimwambia kachumbari ni bure, unasikia nipe tu hiyo kachumbari chips ntawachangia nikipata hela!!
Hii movie hata mm nishawahi kuiona
 
Yaani mtu akisema Makande watu wanaona hii vipi..., Ila ukisema Succotash huenda watu wakasema niletee hio......,

Anyway binafsi mdau wa varieties ninapenda sehemu yenye aina yao ya chakula..., Nikienda Uchagani nitataka Mtori na Mbege Sio Pizza; French Fries au Hamburger....
 
Back
Top Bottom