Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Wapare kwa ubahili hawajambo lakini wanataka waonekane wanaishi vizuri, anaweza kununua mchele nusu akaula Mwezi mzima! Yes kivipi, yaani anatoka nje na mchele wake anaupeta watu wamuone š akiingia ndani anasonga ugali na samaki viperege𤣠pia wanamboga yao ya majani yanayokaushwa yanasagwa kuwa unga, anyway ni moja ya experience niliokutana nayo miaka miwili na ushee nikiwa pale Same Secondary.