Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Hahah kweli kipengele. Sema tabia za hovyo kila mtu anaweza kuwa nazo hasa ubinafsi ila sababu ni mada ya wapare wataangushiwa majumba mabovu mno.
 

Hatukumind mkuu.
 
Nilipata nao tabu sana mwanzoni,ila Sasa nawamudu vyema....alikuwa ana system kabambe za kupangua mabomu yangu kila nikiyarusha ila nilitulia nikamstudy tunaenda sawa Sasa😁😁😁

😃😃

Tupo radhi kuitwa wachoyo, wabahili, na majina mengine mabaya lakini kamwe hatuwezi kuhudumia Watu wasiotuhusu.
Pili, kutoa pesa kinyume na mipango(bajeti) ati ili kuwafurahisha Watu wasituone Wabaya.

Raha ya Mpare muwe mnapendana alafu uwe Mwanamke mwenye akili na kupenda vitu vya maendeleo. Hapo mtaenda sawa..
 



Kwenye mambo ya papuchi hawanaga ubahili ni wakarimu mno awe mwanamke au Mwanaume hadi uzeeni.

Sijui ni kwa nini ?

Sijui sababu ya kula kande mara Kwa mara?

Huenda kuna uhusiano wa moja Kwa moja kati ya kula makande mara Kwa mara na kupenda kungonoka mara Kwa mara labda ?!
 
Maisha yamebadilika sana sikuhizi. Wapare waliostaarabika mbona wapo wengi tu. Hio mifano mnatolea ya Ma Layman huko Ndungu ni ya kizamani sana



Nimecheka Kwa sauti kubwa hapo kwenye Ndungu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…