From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Mkuu hakuna mb alizo niunga huyu jamaa,,Mambo ya kudaiana yaishie PM huko maana ndiko mlikokubaliana, maana hapo naona ngoma droo...wewe ni mwizi wa kimtandao na huyo mwingine ni tapeli sasa kisheria wote mnamakosa.
Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.
Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.
Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.
Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.
Jamaa wanakuwa kama watoto vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mada inataka kwenda mrama. Niseme tusameheane kisha tusonge mbele. Kuhusu kupata nafasi ungefafanua vizuri! Unataka jengo la chuo la kuuzia chakula au unataka kuruhusiwa kuuza chakula?
Mkuu hakuna MB alizo niunganisha huyu jamaa...Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.
Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.
Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.
Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.
Kwenye zile canteen za chuo mkuu, huwa wanacodisha ndio nataka kujua utaratibu wake ukoje..?Naona mada inataka kwenda mrama. Niseme tusameheane kisha tusonge mbele. Kuhusu kupata nafasi ungefafanua vizuri! Unataka jengo la chuo la kuuzia chakula au unataka kuruhusiwa kuuza chakula?
Ok. Nimeshakupata. Kama ni hivyo, basi jamaa akutoe tu kiroho safi, haina haja ya bifu.Mkuu hakuna mb alizo niunga huyu jamaa,,
Yeye anacho dai anaunganisha line yako ya kawaida inakuwa ya chuo..
Then unamlipa 9,000/=..
Huyu ni tapeli anafahamika na nitamtafutaOk. Nimeshakupata. Kama ni hivyo, basi jamaa akutoe tu kiroho safi, haina haja ya bifu.
Kwanza hakuna canteen utakayoikuta haina mkodishaji hivyo ujiandae kumtoa mtu. La pili unatakiwa ukutane na estate manager wa chuo unachopenda atakupa utaratibu.Kwenye zile canteen za chuo mkuu, huwa wanacodisha ndio nataka kujua utaratibu wake ukoje..?
Mkuu jiangalie anaandaa mazingira ya kuibia mtu huyu...jamaa na mwizi aliekubuhu mi kishanilizaKwanza hakuna canteen utakayoikuta haina mkodishaji hivyo ujiandae kumtoa mtu. La pili unatakiwa ukutane na estate manager wa chuo unachopenda atakupa utaratibu.
Mimi hawezi kuniibia, ataazia wapi kwanza! Mimi huwa naibiwa na wakibarua wangu kwenye kilimo cha mahindi, zaidi ya hapo sidhani.Mkuu jiangalie anaandaa mazingira ya kuibia mtu huyu...jamaa na mwizi aliekubuhu mi kishaniliza
Anatumia namba 0764328463 kujifanya sijui nisaidie kupata nini na nini mwishowe unalia. Mi usione nipo kimya nakutafuta kimya kimya ntakufanya kitu mbaya utaingia tu kwenye 18
Nakushukuru kwa kutoa tahadhari. Utawaokoa wengi na balaa tarajiwa hilo!Mkuu jiangalie anaandaa mazingira ya kuibia mtu huyu...jamaa na mwizi aliekubuhu mi kishaniliza
Anatumia namba 0764328463 kujifanya sijui nisaidie kupata nini na nini mwishowe unalia. Mi usione nipo kimya nakutafuta kimya kimya ntakufanya kitu mbaya utaingia tu kwenye 18
Anatafuta mbinu tu za kumtapeli mtu hapa...angalia hata post zake nying ni uchwara mara mahakaman mara shule mara cjui nini na nini yaan yote anayafanya yeye tu ni dalili za wizi. Ni mwizi mwizi kweli ukijichanganya umeliwaNakushukuru kwa kutoa tahadhari. Utawaokoa wengi na balaa tarajiwa hilo!
Naihitaji hiyo huduma mkuu,, tuwasiliane uniunganishe then nitakulipa,. Mi naitaka hivyo hivyo na nitakulipa punde tu ikikubali kununua vifurushi.Huyu ni tapeli anafahamika na nitamtafuta
kama unataka kumlipa mlipe ,lakin asikutishe hana lolote wala ujuzi km anavyokunadia yote mikwara tu ,vlevle hlo n kosa yeye ni mwizi ama ni sawa kwenye kamari ukizurumiwa huwez shtaki popote ,na ukiona anakusumbua sana shart kamripoti labda kajisahau amejihalalishia kazi sio yakeMwanzo sikujua kama hizi dili zake ziko kiujanja ujanja..
Ila baada ya kujua haiko kihalali na inaweza niletea matatizo, na mm line yangu nimeisajili kihalali, nilimwambia anitoe kwenye hiyo huduma, akasema atanitoa kwenye hiyo huduma lakini ni baada ya kunichafua kwanza....
Pia amesema ataingilia mazungumzo yangu, nikamwambia sawa haina shida, afanye hivyo...
Ndio mana sijataka hata kujiunga na hiyo huduma tangia aniunganishe, anaweza kutrace akaona coz inaonekana yuko deep kwenye haya mambo...
Pia ananitukana matusi makubwa sana inbox..kama unataka kumlipa mlipe ,lakin asikutishe hana lolote wala ujuzi km anavyokunadia yote mikwara tu ,vlevle hlo n kosa yeye ni mwizi ama ni sawa kwenye kamari ukizurumiwa huwez shtaki popote ,na ukiona anakusumbua sana shart kamripoti labda kajisahau amejihalalishia kazi sio yake
Hujui lolote mwambie akashitaki nipo tayar hivi unadhan kuweka namba zangu na details nyingine voda wangekuwa hawajanishika kwa wiki zote hizo nilizokuwa nafanya?kama unataka kumlipa mlipe ,lakin asikutishe hana lolote wala ujuzi km anavyokunadia yote mikwara tu ,vlevle hlo n kosa yeye ni mwizi ama ni sawa kwenye kamari ukizurumiwa huwez shtaki popote ,na ukiona anakusumbua sana shart kamripoti labda kajisahau amejihalalishia kazi sio yake
Nimesitisha siitoi tena hii hudumaNaihitaji hiyo huduma mkuu,, tuwasiliane uniunganishe then nitakulipa,. Mi naitaka hivyo hivyo na nitakulipa punde tu ikikubali kununua vifurushi.