From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.
Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.
Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.
Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.