Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.

Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.

Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.

Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.
 
Mambo ya kudaiana yaishie PM huko maana ndiko mlikokubaliana, maana hapo naona ngoma droo...wewe ni mwizi wa kimtandao na huyo mwingine ni tapeli sasa kisheria wote mnamakosa.
Mkuu hakuna mb alizo niunga huyu jamaa,,
Yeye anacho dai anaunganisha line yako ya kawaida inakuwa ya chuo..
Then unamlipa 9,000/=..

Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.

Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.

Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.

Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.
 
Naona mada inataka kwenda mrama. Niseme tusameheane kisha tusonge mbele. Kuhusu kupata nafasi ungefafanua vizuri! Unataka jengo la chuo la kuuzia chakula au unataka kuruhusiwa kuuza chakula?
Jamaa wanakuwa kama watoto vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inamonga, kama kweli jamaa alikupa huduma na mlikuwa na makubaliano, nadhani ni vyema ukampa hela yake.

Hilo la kusema sikujua ni dili, ungekuwa umeshachunguza kabla.

Lakini pia, huduma ya simu inaeleweka. Unanunua vocha, unapiga au unajiunga na kifurushi. Kukubali nje ha hapo ina maana ulishaamua kufanya hivyo.

Rudisha tu hela ya watu. Lazima utakuwa umetumia hizo MB. Visa vya madili huwa ni hatari sana kuliko visa vya haki.
Mkuu hakuna MB alizo niunganisha huyu jamaa...
Yeye anasema anaunganisha line ya kawaida kuwa line ya chuo then unampa 9,000/=..
Mm nimekataa baada ya kuona ni ujanja ujanja unafanyika..
kaniunganisha leo, nimemwambia anitoe kwenye hiyo huduma yake, akasema sawa, ila mpaka anichafue kwanza..
Nikamwambia sawa, anichafue hakuna shida..
 
Naona mada inataka kwenda mrama. Niseme tusameheane kisha tusonge mbele. Kuhusu kupata nafasi ungefafanua vizuri! Unataka jengo la chuo la kuuzia chakula au unataka kuruhusiwa kuuza chakula?
Kwenye zile canteen za chuo mkuu, huwa wanacodisha ndio nataka kujua utaratibu wake ukoje..?
 
Kwanza hakuna canteen utakayoikuta haina mkodishaji hivyo ujiandae kumtoa mtu. La pili unatakiwa ukutane na estate manager wa chuo unachopenda atakupa utaratibu.
 
Mkuu jiangalie anaandaa mazingira ya kuibia mtu huyu...jamaa na mwizi aliekubuhu mi kishaniliza
Anatumia namba 0764328463 kujifanya sijui nisaidie kupata nini na nini mwishowe unalia. Mi usione nipo kimya nakutafuta kimya kimya ntakufanya kitu mbaya utaingia tu kwenye 18
 
Mimi hawezi kuniibia, ataazia wapi kwanza! Mimi huwa naibiwa na wakibarua wangu kwenye kilimo cha mahindi, zaidi ya hapo sidhani.
 
Mkuu jiangalie anaandaa mazingira ya kuibia mtu huyu...jamaa na mwizi aliekubuhu mi kishaniliza
Anatumia namba 0764328463 kujifanya sijui nisaidie kupata nini na nini mwishowe unalia. Mi usione nipo kimya nakutafuta kimya kimya ntakufanya kitu mbaya utaingia tu kwenye 18
Nakushukuru kwa kutoa tahadhari. Utawaokoa wengi na balaa tarajiwa hilo!
 
Anatafuta mbinu tu za kumtapeli mtu hapa...angalia hata post zake nying ni uchwara mara mahakaman mara shule mara cjui nini na nini yaan yote anayafanya yeye tu ni dalili za wizi. Ni mwizi mwizi kweli ukijichanganya umeliwa
 
Inabidi uwe unafuatilia zabuni zikitangazwa ili utume maombi yako. Biashara ni nzuri na ina faida nzuri pia lakini ushindani ni mkubwa hivyo mara nyingi rushwa inakuwepo na mwenye donge nono la rushwa huishia kutangazwa kama mshindi.
 
Huyu ni tapeli anafahamika na nitamtafuta
Naihitaji hiyo huduma mkuu,, tuwasiliane uniunganishe then nitakulipa,. Mi naitaka hivyo hivyo na nitakulipa punde tu ikikubali kununua vifurushi.
 
Mwanzo sikujua kama hizi dili zake ziko kiujanja ujanja..
Ila baada ya kujua haiko kihalali na inaweza niletea matatizo, na mm line yangu nimeisajili kihalali, nilimwambia anitoe kwenye hiyo huduma, akasema atanitoa kwenye hiyo huduma lakini ni baada ya kunichafua kwanza....
Pia amesema ataingilia mazungumzo yangu, nikamwambia sawa haina shida, afanye hivyo...
Ndio mana sijataka hata kujiunga na hiyo huduma tangia aniunganishe, anaweza kutrace akaona coz inaonekana yuko deep kwenye haya mambo...
kama unataka kumlipa mlipe ,lakin asikutishe hana lolote wala ujuzi km anavyokunadia yote mikwara tu ,vlevle hlo n kosa yeye ni mwizi ama ni sawa kwenye kamari ukizurumiwa huwez shtaki popote ,na ukiona anakusumbua sana shart kamripoti labda kajisahau amejihalalishia kazi sio yake
 
Pia ananitukana matusi makubwa sana inbox..
 
kama unataka kumlipa mlipe ,lakin asikutishe hana lolote wala ujuzi km anavyokunadia yote mikwara tu ,vlevle hlo n kosa yeye ni mwizi ama ni sawa kwenye kamari ukizurumiwa huwez shtaki popote ,na ukiona anakusumbua sana shart kamripoti labda kajisahau amejihalalishia kazi sio yake
Hujui lolote mwambie akashitaki nipo tayar hivi unadhan kuweka namba zangu na details nyingine voda wangekuwa hawajanishika kwa wiki zote hizo nilizokuwa nafanya?
Nyamaza tu hujui mikakati ya makampuni wewe....pia muulize kama hiyo huduma anayo mpaka saizi nshaifunga kitambo lkn pesa yangu atalipa najua ntampata vipi
 
Naihitaji hiyo huduma mkuu,, tuwasiliane uniunganishe then nitakulipa,. Mi naitaka hivyo hivyo na nitakulipa punde tu ikikubali kununua vifurushi.
Nimesitisha siitoi tena hii huduma
 
Nataka nianzishe mgahawa standard kidogo so ningependa kujua mtaji wake kwa mtu alie na experience kidogo na kazi hii!
 
Back
Top Bottom