Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

O

Ok Huyo Dada namwamini coz anajua kuliko hata mimi
 

Sawa mkuu nashukuru
 

Ila mkuu wateja wote watapenda supu ya kichwa?
 

Sawa ila utafanyaje peke yako? Lazima usaidiwe, pia usipotoke waaminifu bado wapo
 
Kasema huyo dada anajua yeye atamsimamia swali atamsimamiaje na yeye yuko kazini? mama ntilie tena mpya raha uwepo mwenyewe au da rebecca unaonaje?mimi naona kodi ya miezi 3 ikiisha wanafunga biashara hawa.

ingependeza kama na wewe unajua kupika,then ujue anayepika anapika kwa standards zako...
Huyo Dada anajua Mimi ntamsimamia
 
Sawa ila utafanyaje peke yako? Lazima usaidiwe, pia usipotoke waaminifu bado wapo

Okay, huo ni ukweli mchungu na wengi hatutaki kuhusikia biashara ambayo wewe haupo invest kwenye technology uone kila kitu, hata kwa cctv. Waajiri sio wajinga kutusimamia hata maofisini sababu wanaujua huu ukweli.

Muda utaongea tu, uje utupe mrejesho.
 


Inaelekea mkuu umeibiwa sana, moo au mengi ndo wawe na wasiwasi wa kuibiwa wewe mtu mmoja unashindwaje kummanage mkuu?
 
Inaelekea mkuu umeibiwa sana, moo au mengi ndo wawe na wasiwasi wa kuibiwa wewe mtu mmoja unashindwaje kummanage mkuu?

Dada mimi nimekulia kwenye biashara.. wazazi wangu hawajawai kuajiriwa wote. na hata nilipo nafanya biashara ndogo ndogo nyingi sana.
nina dry cleaner zaidi ya 5, nina tshirt workshop, photo studio, uber tax, na vingine.. najua changamoto nyingi sana

Mimi sio mwanasiasa nakueleza nayoyaona na kuyaona.

Biashara nafanya na wafanyakazi.. ila nawasimamia kwa technology... hata hao kina mengi wameweka mabosi wahindi vichwa.. na pia wanawasimamia kwa technology..

Haya mambo ya kusaini kwa vidole, cctv, kpi, etc etc. ni usimamizi wa kisasa

Narudia tena hakuna mtu duniani anaependa kumtafutia mwenzake hela.. huku hata yeye ana shida ya hela...

what you think, what we print (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
 
Biashara ya Chakula iko senistive kidogo so kumuachia mtu at initial stage sio jambo jema, Nweis nashauri kama unaweza ifungue Jumamos na Jumapili uwepo pale ili uanze nae huyo dada uone mazingira yakoje kwa maana ya aina ya wateja wako wanahitaj nin average maingizo na vitu vya namna hyo atlist itakupa mwanga wa nin ufanye, but kama unamuamin then proceed to aanze la msing usafi na lugha kwa wateja muhimu sana na hutakiw kuwa na kisiran nao kabla hujawajua wakoje.
 
Mi nafikiri ingekuwa vyema ukaweka hapa haps kwenye huu uzi haya maoni yako ili nasi pia tujifunze hata kama tunataka kufanya basi hiyo biashara tuweze kupata kujua nini cha kufanya mkuu.

Natanguliza shukran kwa niaba ya wote.

Ahsante sana.
Hebu wacha watu wachangamkie fursaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pia, umejiandaaje kuhusu viporo vinavyobaki? Hakuna mteja anayependa kupata supu ya jana,maandazi,chapati au chakula cha jana ingawa ni hasara;lazima uwalishe wateja wako vitu fresh ili waendelee kukuunga mkono.
 
Usafi wa mazingira, vyombo, na wahudumu ni muhimu!😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…