Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

O
Kama ni hivi, inakupasa uwe makini sana. Tena ingekuwa ni vema kama ukaanza kwa kukaa mwenyewe, ili ufahamu biashara yako ina mzungo wa kiasi gani minimum and maximum. Then ndio umuachie mtu...ila pia kwa kuanza kukaa mwenyewe kungekusaidia kufahamu madhaifu ya biashara yako, kutokana na complements za wateja wako....kwanzia hapo ungekuwa na room kubwa ya develop mfumo mzuri wa uendeshaji wa biashara yako.

Note:
Biashara ni mwanzo. Ukianza vibaya, ni ngumu sana huko mbele kukaa vizuri....maana utakuwa ushakimbiza wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok Huyo Dada namwamini coz anajua kuliko hata mimi
 
Sawa.
Aamke asubuhi sana kuwahi machinjioni kufata nyama, utumbo, bichwa la supu, apike supu nzuri sana na chapati laini, chai tamu juice nzuri pia soda maji baridi sana.
Faida ya mama ntilie huwaga ni asubuhi kwenye soup na maharage chapatai,zikibaki anaunga mchuzi au kapilau kwa ajili ya mchana(mpaka hapo huna hasara asubuhi) utumbo anaunga na mboga za majani anauzia ugali, mchana wali ugali, hapo mboga samaki, nyama utumbo dagaa, maharage pilau unaweza fanya ijumaa.

usisahau viungo vya chai, mchuzi pilau kanunue kariakoo soko kuu dukani kwa Issa, kama unalifahamu duka la kipara atakuelekeza kwa issa, viungo vyake fresh wewe unamtajia tu anakupa mengine fata ushauri wa Dharra na huyo mdau aliyetoa kero zake.

Sawa mkuu nashukuru
 
Ila mkuu wateja wote watapenda supu ya kichwa?
 
huu ni ukweli mchungu ambao wengi hatuupendi kuambiwa..

dunia nzima hakuna mtu anaependa kumfanyia mwenzake kazi ya kumtafutia hela..

huyo dada atakuibia tu. hata awe muaminifu vip...

biashara inayoweza kukulipa vizuri ni ile unayoifanya wewe mwenyewe..

Sawa ila utafanyaje peke yako? Lazima usaidiwe, pia usipotoke waaminifu bado wapo
 
Kasema huyo dada anajua yeye atamsimamia swali atamsimamiaje na yeye yuko kazini? mama ntilie tena mpya raha uwepo mwenyewe au da rebecca unaonaje?mimi naona kodi ya miezi 3 ikiisha wanafunga biashara hawa.

ingependeza kama na wewe unajua kupika,then ujue anayepika anapika kwa standards zako...
Huyo Dada anajua Mimi ntamsimamia
 
Sawa ila utafanyaje peke yako? Lazima usaidiwe, pia usipotoke waaminifu bado wapo

Okay, huo ni ukweli mchungu na wengi hatutaki kuhusikia biashara ambayo wewe haupo invest kwenye technology uone kila kitu, hata kwa cctv. Waajiri sio wajinga kutusimamia hata maofisini sababu wanaujua huu ukweli.

Muda utaongea tu, uje utupe mrejesho.
 
huu ni ukweli mchungu ambao wengi hatuupendi kuambiwa..

dunia nzima hakuna mtu anaependa kumfanyia mwenzake kazi ya kumtafutia hela..

huyo dada atakuibia tu. hata awe muaminifu vip...

biashara inayoweza kukulipa vizuri ni ile unayoifanya wewe mwenyewe..

Inaelekea mkuu umeibiwa sana, moo au mengi ndo wawe na wasiwasi wa kuibiwa wewe mtu mmoja unashindwaje kummanage mkuu?
 
Inaelekea mkuu umeibiwa sana, moo au mengi ndo wawe na wasiwasi wa kuibiwa wewe mtu mmoja unashindwaje kummanage mkuu?

Dada mimi nimekulia kwenye biashara.. wazazi wangu hawajawai kuajiriwa wote. na hata nilipo nafanya biashara ndogo ndogo nyingi sana.
nina dry cleaner zaidi ya 5, nina tshirt workshop, photo studio, uber tax, na vingine.. najua changamoto nyingi sana

Mimi sio mwanasiasa nakueleza nayoyaona na kuyaona.

Biashara nafanya na wafanyakazi.. ila nawasimamia kwa technology... hata hao kina mengi wameweka mabosi wahindi vichwa.. na pia wanawasimamia kwa technology..

Haya mambo ya kusaini kwa vidole, cctv, kpi, etc etc. ni usimamizi wa kisasa

Narudia tena hakuna mtu duniani anaependa kumtafutia mwenzake hela.. huku hata yeye ana shida ya hela...

what you think, what we print (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
 
Biashara ya Chakula iko senistive kidogo so kumuachia mtu at initial stage sio jambo jema, Nweis nashauri kama unaweza ifungue Jumamos na Jumapili uwepo pale ili uanze nae huyo dada uone mazingira yakoje kwa maana ya aina ya wateja wako wanahitaj nin average maingizo na vitu vya namna hyo atlist itakupa mwanga wa nin ufanye, but kama unamuamin then proceed to aanze la msing usafi na lugha kwa wateja muhimu sana na hutakiw kuwa na kisiran nao kabla hujawajua wakoje.
 
Mi nafikiri ingekuwa vyema ukaweka hapa haps kwenye huu uzi haya maoni yako ili nasi pia tujifunze hata kama tunataka kufanya basi hiyo biashara tuweze kupata kujua nini cha kufanya mkuu.

Natanguliza shukran kwa niaba ya wote.

Ahsante sana.
Hebu wacha watu wachangamkie fursaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pia, umejiandaaje kuhusu viporo vinavyobaki? Hakuna mteja anayependa kupata supu ya jana,maandazi,chapati au chakula cha jana ingawa ni hasara;lazima uwalishe wateja wako vitu fresh ili waendelee kukuunga mkono.
 
Usafi wa mazingira, vyombo, na wahudumu ni muhimu!😀
 
Karibu katika field, kikubwa nawe uwe moiga kazi ukifanya Kama boss itakula kwako

IMG_20190123_141626.jpeg
IMG-20181124-WA0034.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom