Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 371
O
Ok Huyo Dada namwamini coz anajua kuliko hata mimi
Kama ni hivi, inakupasa uwe makini sana. Tena ingekuwa ni vema kama ukaanza kwa kukaa mwenyewe, ili ufahamu biashara yako ina mzungo wa kiasi gani minimum and maximum. Then ndio umuachie mtu...ila pia kwa kuanza kukaa mwenyewe kungekusaidia kufahamu madhaifu ya biashara yako, kutokana na complements za wateja wako....kwanzia hapo ungekuwa na room kubwa ya develop mfumo mzuri wa uendeshaji wa biashara yako.
Note:
Biashara ni mwanzo. Ukianza vibaya, ni ngumu sana huko mbele kukaa vizuri....maana utakuwa ushakimbiza wateja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok Huyo Dada namwamini coz anajua kuliko hata mimi