Well said mkuu, yaani kwa mazingira na hali ya sasa ya maisha kuipata iyo pesa ni kasheshe na yeye pia awe amepata faida yake kando.Sidhani kama umefanyya utafiti wa kutosha, hiyo hela ni nyingi mno na ili chakula kitoke kizuri ni gharama haswa
Karibu Dodoma,njoo Uni PM sehem zipo kibao kuanzia Barbara yà 6,7,8,9,10 na 11.pia hiZo PESA zinatosha biashara Moja ambayo sitaitaja hapa.Habari wakuu, Nina wazo LA kufungua mgahawa Dodoma kwa mtaji wa milioni tano. Naombeni mawazo yenu ktk maeneo yafuatayo:
1. Eneo zuri kwa kufungua biashara tajwa kwa Dodoma
2. Bei za fremu kwa wenyeji wa Dodoma
3. Kama mtaji huo ni reasonable ukilinganisha na ushindani wa mji
4. Mambo machache ya kuzingatia kwa biashara ya mgahawa mjini Dodoma.
Asanteni...
Nitakutafuta nikirudi bongo kuanzia wiki ijayo kaka.Karibu Dodoma,njoo Uni PM sehem zipo kibao kuanzia Barbara yà 6,7,8,9,10 na 11.pia hiZo PESA zinatosha biashara Moja ambayo sitaitaja hapa.
Hongera. Nenda kwenye mgahawa mkubwa jifunze kwa vitendo. Ila uhakika wa usafi, wafanyakazi ladha, muonekano na ubora wa chakula na lugha kwa wateja ndo uchawi wako mkuuGood evening my guys!!
Helo mwana JF
Nataka kuanzisha mgahawa tafadhari mwenye uzoefu msaada kwa pm hata kwa malipo anisaidie jinsi navoweza kuanza Na Jinsi navoweza kupata faida
AwaaeHongera. Nenda kwenye mgahawa mkubwa jifunze kwa vitendo. Ila uhakika wa usafi, wafanyakazi ladha, muonekano na ubora wa chakula na lugha kwa wateja ndo uchawi wako mkuu