The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Oh....it was said.Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh....it was said.Kudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Walitaka vita yeye akagomaHahaha wamempiga chenga[emoji23][emoji23]
YametimiaUnataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...
Deep state anayoipigia kelele Trump kila siku ni ile ya kina Obama,Clinton,FBI Officials,na Director of National Inteligence anaitwa Clapper.Nafikiri Deep state ya waanzilishi wa Marekani ndo waliomuweka Trump ikulu badala ya Clinton,Ili kupambana na China maana USA ilikuwa shamba la bibi.
Bwana bwanaKudhihiridha uwepo wa deep state, Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu.
Kwamba?Sina haja ya kurudia kusoma,Umeelewaka vizuri tu maana hukuandika kihindi hapo,..
"Umesema kuthibitisha uwepo wa deep state,Trump atakuwa rais wa awamu moja tu"
Nimekwambia iyo deep stateya kina Clinton na Obama haiwezi fanya chochote,sababu ni ya kimagumashi tu.The real deep state ndio iliyomuweka Trump pale,na atashinda tena 2020.
Next time tuliza bichwa,usije na mihemko yako kama umelewa chang'aa.
Mkuu naona Trump kashinda uraisi awamu ya pili sio?Sina haja ya kurudia kusoma,Umeelewaka vizuri tu maana hukuandika kihindi hapo,..
"Umesema kuthibitisha uwepo wa deep state,Trump atakuwa rais wa awamu moja tu"
Nimekwambia iyo deep stateya kina Clinton na Obama haiwezi fanya chochote,sababu ni ya kimagumashi tu.The real deep state ndio iliyomuweka Trump pale,na atashinda tena 2020.
Next time tuliza bichwa,usije na mihemko yako kama umelewa chang'aa.
There is no uchaguzi. Hawa wanakuwa established member ndani ya taasisi za serikali. Mostly wakiwa na background za u spy.. ama military.Uchaguzi huu Deep State wako upande wa nani?
Watu mpo vizuriDuh au ndio walipanga 2020 kusiwe na upinzani
Daah hapo kwenye hoja ya Maalim Seif hatimae leo imetimia😭😭Deep State kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.
Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa.
Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.
Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache.
Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.
Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.
Itaendelea...
Uli tabiri vema na ameshinda tena 2020[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina haja ya kurudia kusoma,Umeelewaka vizuri tu maana hukuandika kihindi hapo,..
"Umesema kuthibitisha uwepo wa deep state,Trump atakuwa rais wa awamu moja tu"
Nimekwambia iyo deep stateya kina Clinton na Obama haiwezi fanya chochote,sababu ni ya kimagumashi tu.The real deep state ndio iliyomuweka Trump pale,na atashinda tena 2020.
Next time tuliza bichwa,usije na mihemko yako kama umelewa chang'aa.
Sema wameitimiza kwa makusudi kabisaDaah hapo kwenye hoja ya Maalim Seif hatimae leo imetimia[emoji24][emoji24]
Huyu jamaa mnae mwona leo kama kapotoka au kachanganyikiwa,ndio zao halisi la deep state,na hiki anachokifanya ndio maelekezo ya deep state,Basi watusaidie kufanya masahihisho kwa huyu jamaa 2020.
Evarist chahari hakukimbilia Scotland, yupo scotland kuzazi,kitengo cha count serves,anaitumikia nchi,Wanasema Ni yule Bwana evarist chahali aliekua shushushu wa TISS akakimbilia Scotland
Evarist chahari hakukimbilia Scotland, yupo scotland kuzazi,kitengo cha count serves,anaitumikia nchi,
Wanasema Ni yule Bwana evarist chahali aliekua shushushu wa TISS akakimbilia Scotland