Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Yametimia

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba?
 
Mkuu naona Trump kashinda uraisi awamu ya pili sio?
 
Daah hapo kwenye hoja ya Maalim Seif hatimae leo imetimia😭😭
 
Uli tabiri vema na ameshinda tena 2020[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Evarist chahari hakukimbilia Scotland, yupo scotland kuzazi,kitengo cha count serves,anaitumikia nchi,

Unajua balaa alilopata Chahali mpaka akakimbia? Na unajua 2014 alipojaribu kuja kumzika baba yake mtego aliokuwa ametegwa ili anaswe? Rudi chuoni Malindi ukabukue tena module zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…