Fahamu kuhusu Fao la Kukosa Ajira Tanzania (Unemployment Benefit)

Hii imekaaje kwa mtu ambae aliachishwa kazi miaka saba nyuma na kachangia kwa miaka mitano ila tangu aachishwe kazi hakuwahi kufatilia na hayuko kwenye ajira mpaka sasa
Nenda na barua ya ukomo wa mkataba/kazi, watakupatia fomu za kujaza na kukupa maelekezo ya viambata vinavyo hitajika... (Wanaweza kukuuliza pia mbona umechelewa kuomba mafao/ Uandike barua kwanini umechelewa kuomba mafao)
 
Mkuu hili linahusu wale ambao wameshalipwa pesa za michango yao kutoka NSSF na bado hawajapata kazi wanaweza kurudi NSSF wakalipwa nusu ya pesa walizolipwa awali msaada tafadhari
Kama ulilipwa malipo ya awali, na miezi 18+ imepita bado huna ajira unaweza kurudi kuchukua michango yako iliyo bakia.
 

Asante kwa ufafanuzi mzuri, swali langu ni kwamba ukipokea fao la kukosa ajira kwa miezi sita, ili uweze kutoa mafao yako yaliyobakia unasubiri miezi 18 baada ya kulipwa miezi sita au miezi 18+ toka ajira ilipokoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…