DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 365
- 365
- Thread starter
- #41
Unaweza,kunitumia eneo au mahali palikoandikwa Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza,kunitumia eneo au mahali palikoandikwa Mkuu?
Karibu
NdioHii Hadith inahusika pia na PSSSF?
KaribuAsante sana
Yes, haijalishi amefukuzwa kazi kwasababu gani.Hata kwa sababu ya kupigana kazini? Nataka nimchote ngwara mhindi wanitimue nikachote vi hela vyangu nssf nimechoka kutumwa tumwa kifala,,
Kwa Sasa nahisi foa la kujitoa lililofutwa ni Bora zaidi kuliko hili la kutokuwa na ajira kutokana na nature ya upatikanaji wa ajiraFao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu nyingine za halali. Hata hivyo, fao hili halitolewi kwa mtu aliyeacha kazi kwa hiari, kwani kufanya hivyo humfanya apoteze sifa za kupata fao hili.
Sifa za Kupata Fao la Kukosa Ajira
Umri: Mtu anayestahili fao hili anatakiwa kuwa chini ya umri wa miaka 55, ikiwa umepoteza kazi na umri wako ni zaidi ya miaka 55 basi italazimika ulipwe fao la uzee (Old age pension)
Mchango: Fao hili ulipwa kwa Mwanachama aliye changia kwenye mfuko chini ya miezi 180, ikiwa umechangia zaidi ya miezi 180 na uko chini ya miaka 55 ukapoteza ajira, basi utalipwa pensheni iliyo cheleweshwa, (differed pension).
Sababu za Kupoteza Ajira: Ajira inatakiwa kuwa imekoma kwa sababu zisizo za hiari kama vile: kufukuzwa kazi, Mkataba kuisha, au kupunguzwa kazini (retrenchment).
Malipo ya Fao la Kukosa Ajira
Fao la kukosa ajira hulipwa kwa awamu mbili.
Kwa Aliyechangia Zaidi ya Miezi 18: Malipo ya Awamu ya Kwanza: Unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi 6. Baada ya Malipo ya Kwanza: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (miaka miwili) cha kutafuta ajira, ukipata ajira, utaendelea kuchangia katika mfuko pale ulipoishia. na ikitokea umekosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe au utaruhusiwa kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Kwa Aliyechangia Chini ya Miezi 18: Malipo: Utalipwa nusu ya kiasi ulichochangia kwenye mfuko. Baada ya Malipo: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (Miaka miwili) cha kutafuta ajira. Ukipata ajira, utaendelea kuchangia pale ulipoishia, na Ukikosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe kwa mfumo wa hiari au kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Pia malipo ya fao la kukosa ajira yanatofautina kwa mtu mwenye ujuzi (skilled) na Mtu asiye na ujuzi (Unskilled) kwa mtu asiye na ujuzi yeye hulipwa kiasi chote alicho changia kwenye mfuko na mwenye ujuzi yeye hulipwa kwa kufuata maelekezo hayo juu, hii ni kwasababu ni ngumu mtu asiye na ujuzi kupata ajira kwa urahisi ukilinganisha na mtu mwenye ujuzi
Kumbuka: Malipo ya fao la kukosa ajira yatakoma pale tu unapo pata ajira nyingine.
Sababu za Malipo Kufanyika kwa Awamu
Mfumo wa malipo kwa awamu una lengo la kuhakikisha mwanachama anaendelea kuwa na sifa za kupata pensheni ya uzee. Kama kiasi chote kingetolewa mara moja, kuna hatari ya mwanachama kufika umri wa kustaafu bila kufikia michango ya miezi 180 inayotakiwa kwa ajili ya pensheni ya uzee.
Hivyo, malipo kwa awamu yanasaidia kulinda michango iliyopo ili mwanachama awe na nafasi ya kufanikisha sifa za pensheni ya uzee.
Faida ya Fao la Kukosa Ajira
Hutoa msaada wa kifedha kwa kipindi cha mpito baada ya kupoteza ajira. Hakuna kupunguzwa kwa michango ya awali kwenye mfuko, Mfano: Ulikuwa na michango 20, ukalipwa fao la kukosa ajira, lakini hukuchukua kiasi chote. Ukipata ajira mpya, utaanza kuchangia kuanzia mchango wa 21 na kuendelea.
Kumbuka: Fao hili ni haki ya mwanachama aliyepoteza ajira kwa sababu halali zilizopo kwenye sheria, Mchakato wa kudai fao hili unahitaji nyaraka zinazothibitisha hali ya kuachishwa kazi kama barua ya kusitishwa kwa ajira.
Mwajiri anatakiwa kukusainia fomu zako ujue za kupeleka nssfHata kwa sababu ya kupigana kazini? Nataka nimchote ngwara mhindi wanitimue nikachote vi hela vyangu nssf nimechoka kutumwa tumwa kifala,,
Nina kuelewa kwanini umesema hivyo lakini, Fao la kujitoa lililetwa kisiasa tu na ndio maana likafutwa, maana lilikuwa ni janga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii,Kwa Sasa nahisi foa la kujitoa lililofutwa ni Bora zaidi kuliko hili la kutokuwa na ajira kutokana na nature ya upatikanaji wa ajira
Haaaahaa kwamba atakataa kuzisaini...!?Mwajiri anatakiwa kukusainia fomu zako ujue za kupeleka nssf
Mkuu hii inawahusu waajiriwa wa mkataba ambao wanachukua gratuity kila baada ya mkataba kuisha na ku-renew mkataba mwingine...?Haaaahaa kwamba atakataa kuzisaini...!?
Miezi 18+ toka ajira ilipo koma
Mkuu mkataba ukiisha na ukarenew mwingine maana yake si-unaendelea na kazi....!?Mkuu hii inawahusu waajiriwa wa mkataba ambao wanachukua gratuity kila baada ya mkataba kuisha na ku-renew mkataba mwingine...?
KaribuNashukuru kwa ufafanuzi mzuri mkuu
Yes kazi inaendelea ila mnapewa gratuity ya michango mliyokuwa mkichangia then mnaendelea na mkataba mpya imekaaje hiyo kiongozi...?Mkuu mkataba ukiisha na ukarenew mwingine maana yake si-unaendelea na kazi....!?
Fao halikuwa na shida na wala halikuwa tishio kama mifuko ingekuwa inawekeza kwenye miradi yenye tija, mifuko Haina ubunifu wa kuvutia hata watu kujiunga, ukiondoa Sheria wengi wasinge jiungaNina kuelewa kwanini umesema hivyo lakini, Fao la kujitoa lililetwa kisiasa tu na ndio maana likafutwa, maana lilikuwa ni janga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii,
Hiyo haipo mkuu, Fomu unazo pewa kwaajiri ya mafao ya kukosa ajira inasehemu ya mwajiri kusaini kama huna kazi tena, na utatakiwa kuweka kiapo cha kuto kuwa na ajira, na uchunguzi unaweza fanyika na PSSSF/NSSF Kujilizisha kama kweli huna kazi tena...Yes kazi inaendelea ila mnapewa gratuity ya michango mliyokuwa mkichangia then mnaendelea na mkataba mpya imekaaje hiyo kiongozi...?
55% Naungana na wewe.Fao halikuwa na shida na wala halikuwa tishio kama mifuko ingekuwa inawekeza kwenye miradi yenye tija, mifuko Haina ubunifu wa kuvutia hata watu kujiunga, ukiondoa Sheria wengi wasinge jiunga
Na baada ya kulipwa asilimia 33.3 je ni kweli kuwa unaendelea kulipwa kila mwezi kiwango hicho hicho mpaka upate ajira?Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu nyingine za halali. Hata hivyo, fao hili halitolewi kwa mtu aliyeacha kazi kwa hiari, kwani kufanya hivyo humfanya apoteze sifa za kupata fao hili.
Sifa za Kupata Fao la Kukosa Ajira
Umri: Mtu anayestahili fao hili anatakiwa kuwa chini ya umri wa miaka 55, ikiwa umepoteza kazi na umri wako ni zaidi ya miaka 55 basi italazimika ulipwe fao la uzee (Old age pension)
Mchango: Fao hili ulipwa kwa Mwanachama aliye changia kwenye mfuko chini ya miezi 180, ikiwa umechangia zaidi ya miezi 180 na uko chini ya miaka 55 ukapoteza ajira, basi utalipwa pensheni iliyo cheleweshwa, (differed pension).
Sababu za Kupoteza Ajira: Ajira inatakiwa kuwa imekoma kwa sababu zisizo za hiari kama vile: kufukuzwa kazi, Mkataba kuisha, au kupunguzwa kazini (retrenchment).
Malipo ya Fao la Kukosa Ajira
Fao la kukosa ajira hulipwa kwa awamu mbili.
Kwa Aliyechangia Zaidi ya Miezi 18: Malipo ya Awamu ya Kwanza: Unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kwa kipindi cha miezi 6. Baada ya Malipo ya Kwanza: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (miaka miwili) cha kutafuta ajira, ukipata ajira, utaendelea kuchangia katika mfuko pale ulipoishia. na ikitokea umekosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe au utaruhusiwa kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Kwa Aliyechangia Chini ya Miezi 18: Malipo: Utalipwa nusu ya kiasi ulichochangia kwenye mfuko. Baada ya Malipo: utakuwa na kipindi cha miezi 18 (Miaka miwili) cha kutafuta ajira. Ukipata ajira, utaendelea kuchangia pale ulipoishia, na Ukikosa ajira ndani ya kipindi hiki, utaandika barua kwenda kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko kuhama uchangiaji, toka uchangiaji wa lazima kwenda hiari, baada ya kuhama uchangiaji unaweza endelea kujichangia mwenyewe kwa mfumo wa hiari au kuchukua kiasi kilichobaki kwenye mfuko.
Pia malipo ya fao la kukosa ajira yanatofautina kwa mtu mwenye ujuzi (skilled) na Mtu asiye na ujuzi (Unskilled) kwa mtu asiye na ujuzi yeye hulipwa kiasi chote alicho changia kwenye mfuko na mwenye ujuzi yeye hulipwa kwa kufuata maelekezo hayo juu, hii ni kwasababu ni ngumu mtu asiye na ujuzi kupata ajira kwa urahisi ukilinganisha na mtu mwenye ujuzi
Kumbuka: Malipo ya fao la kukosa ajira yatakoma pale tu unapo pata ajira nyingine.
Sababu za Malipo Kufanyika kwa Awamu
Mfumo wa malipo kwa awamu una lengo la kuhakikisha mwanachama anaendelea kuwa na sifa za kupata pensheni ya uzee. Kama kiasi chote kingetolewa mara moja, kuna hatari ya mwanachama kufika umri wa kustaafu bila kufikia michango ya miezi 180 inayotakiwa kwa ajili ya pensheni ya uzee.
Hivyo, malipo kwa awamu yanasaidia kulinda michango iliyopo ili mwanachama awe na nafasi ya kufanikisha sifa za pensheni ya uzee.
Faida ya Fao la Kukosa Ajira
Hutoa msaada wa kifedha kwa kipindi cha mpito baada ya kupoteza ajira. Hakuna kupunguzwa kwa michango ya awali kwenye mfuko, Mfano: Ulikuwa na michango 20, ukalipwa fao la kukosa ajira, lakini hukuchukua kiasi chote. Ukipata ajira mpya, utaanza kuchangia kuanzia mchango wa 21 na kuendelea.
Kumbuka: Fao hili ni haki ya mwanachama aliyepoteza ajira kwa sababu halali zilizopo kwenye sheria, Mchakato wa kudai fao hili unahitaji nyaraka zinazothibitisha hali ya kuachishwa kazi kama barua ya kusitishwa kwa ajira.
Hapana, baada ya kulipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho, utasubiri miezi 18+ ukitafuta ajira, ukikosa ndio utaruhusiwa kuchukua kiasi kilichobakiNa baada ya kulipwa asilimia 33.3 je ni kweli kuwa unaendelea kulipwa kila mwezi kiwango hicho hicho mpaka upate ajira?