Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

Hii post imenisaidia katika wazo nililokua nalo,
Namalizia tafiti mbili tatu ili niweze kuanza taratibu
 
Capital kiasi gani inahitajika
 
ANGALIENI SIFA ZANGU KAMA NAMFAA MTU NAOMBA KAZI..
  • Kufanya kazi zote za BRELA, RITA online
  • Kuandaa na kuandika busness plan, proposal
  • Kuandaa na kuandika project profile, project proposal, company profile
  • Kuandaa na kuandika makala mbalimbali kama siasa, dini na za kijamii
  • Matumizi mazuri ya mtandao kuendesha biashara
  • Kuandaa na kuandika report ya vikao au shughuri yoyote
  • Utunzaji wa kumbukumbu za ofisi au kazi
  • Mambo ya stationaries
  • Administrations

MI NAKUJA KUFANYA KAZI SI KUFUNDISHWA KAZI MAANA NINA UZOEFU NAVYO HIVYO, NAKUJA MKOA, WILAYA YOYOTE ILI MRADI TUKUBALIANE TU 0629945110
 
So mzee unapush sales above 100 milion Tshs? Si ndio.
 
Karibuni tuendelee kuawasiliana na kushirikiana katika kuendesha na kusimamia kampuni.Niwakumbushe inapokaribia mwisho wa mwaka ni vyema sanaa ukaanza kufanya maandalizi ya kufunga hesabu za mwaka na kutoa taarifa za kodi na pia kurekebisha makosa ya hapa na pale kabla tarehe ya kalenda haijabadilika
 
Kuna maswali nilitaka kumuuliza mtoa mada ila nimeona hapa umegusia.
Kama kampuni haina ofisi mkataba wa pango unauchukulia wapi?
Pia umesema angalau umeanza kupata kazi ndogo ndogo zinazokuwezesha kulipa kodi za TRA na kulipa wafanyakazi/vibarua,sasa kwa mtu ambaye hajapata tenda maalumu na inatakiwa aendelee kulipa kodi TRA si inakuwa hasara au hii imekaaje
 
Ofisi inaweza kuwa nyumbani kwako unapoishi kwa kuanzia.So unaweza kutumia mkataba wa unapokuwa au ukawaeleza TRA kwa maandishi kwamba nyumba ni yako kwa kuwasilisha utilities bill au document ya kuonesha umiliki wako.


Pili unapokuwa na kampuni unakuwa na uwezo wa kutumia kampuni kufanya shughuli za kibiashara ndogo ndogo na ukatunzi rekodi zako vizuri tu.Na ukatumia hizo shughuli ndogondogo kulipa kodi.Kama hakuna biashara kabisa unaweza pia kuwapa TRA taarifa kwa maandishi ili wafahamu hilo.
 
Tafuta frem ya elfu hamsini weka kiti na meza ,ofisi tayari
 
Hii kitu haipo nimewauliza BRELA wamesema lazima uwe na ofisi hata kama ni nyumbani kwako sio mbaya
 
Karibuni kwa huduma ya usajili wa Kampuni na majina ya biashara uanze mwaka 2023 na biashara mpya
 
Ningeomba usaidizi nahitaji kufungua jina la biashara na nimefuata hatua zote ktk usajili kupitia mtandao ila kuna baadhi ya taarifa naona mfumo unazikataa, so mwenye uzoefu nalo ningehitaji tuwasiliane tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…