Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Ukiona hatokezi ata mmoja akaeleza mafanikio yake ujue akuna aliyewahi kufanikiwa, kiufupi mm ni mkulima na mtumishi pia lkn nataka nikueleze kilimo tz hakilipi, niliwahi kulima pamba ekari saba nikaambulia kilo 1000 saw a na hasara ukizidisha na bei 1100@kilo, uko nikatoka nikalima dengu zote zikaliwa na panya , nikalima mahindi sikuvuna ata kidogo jua liligonga kipindi yanachanua, nikalima kalanga nikaambulia kidogo pamoja na Alizeti angalau lkn sio sana, mwisho nikaona kheri nilime nyanya kwa kitalu Nyumba uko ndo napumulia japo kuna gharama za awali za uwekezaji hapa ukicheza na majira na soko kwa kitalu nyumba unapiga notI wazee .
 
Kuna member mmoja huko juu kasema ukweli mtupu, wanaofanikiwa kwenye kilimo hawapo huku online. Wapo field! Kilimo kinalipa, vitu vigumu kama kilimo vinalipa sana/zaidi ya vitu vingi tu vyepesi vyepesi vya nje ya kilimo
 
Aksvin farm mdada, kuna malembo farm, kuna youngworldfeeders na wengineo wapo mitandaoni muda wote.

Hao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tu
 
Hao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tu
Kwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasa
 
Kwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasa
Dah acha tu, nimewatembelea wengi nakutana na hali tofauti sana na wanavyojinadi mitandaoni
 
Masanja anahangaika kuuza mchele wake kila siku.

Kilimo kisikie tu wanaofanikiwa ni wanunuzi wa mazao ya kilimo ila si wakulima
 
Limeni mazao ya viungo lima mdalasini ,vitunguu swaumu ,iriki ,pilipili etc havizingui bei wala soko
 
Limeni mazao ya viungo lima mdalasini ,vitunguu swaumu ,iriki ,pilipili etc havizingui bei wala soko
Mkuu kila mtu akilima hivyo unavyosema si mambo yale yale ya kukosa soko? Maana kutakuwa na mafuriko ya hayo mazao sokoni!
 
Mkuu kila mtu akilima hivyo unavyosema si mambo yale yale ya kukosa soko? Maana kutakuwa na mafuriko ya hayo mazao sokoni!
kulima ni biashara unapolima ni kama unabet nenda lima mahindi hutoboi ,ila ukitafuta zao la ajabu na kufanya research kwa siri ndo kutoboa
 
Masanja anahangaika kuuza mchele wake kila siku.

Kilimo kisikie tu wanaofanikiwa ni wanunuzi wa mazao ya kilimo ila si wakulima

kuna mzee mmoja namjua ana bustani ya mboga anauza apo apo pemben ya shamba lake, kaanza na hio biashara miaka kama 10 nyuma na ndo ana hio biashara tu: asubui anakuja anafanya vitu vyake shamban wakati watu wakija kununua anaendelea kutengeneza shamba lake, ana gari mbili mpaka sasa kama sjakosea na ni mzee mmoja simple sana
 
Tamaa yake tu...magunia yote yale anataka auze kilo tano tano [emoji23][emoji23][emoji23]
Masanja anahangaika kuuza mchele wake kila siku.

Kilimo kisikie tu wanaofanikiwa ni wanunuzi wa mazao ya kilimo ila si wakulima
 
Wakulima waliofanikiwa na wanaendelea kufanikiwa hawapo mitandaoni. Nilichogundua walima kwa simu wengi ndio tuna story za kufeli kilimo majukwaani.
 
Ckuhizi bila kuungana na watu zaidi ya watatu, kilimo kutoboa ngumu sana
 
Kitalu nyumba kilikugharimu kiasi gani mkuu, na ni maeneo gani unalima
 
Hao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tu
Upo sahihi mkuu watu wengi tuliopo mitandaoni ni wale tunaolima kwa simu tukiwa club mjini hivo hatuwez ona mafanikio zaid ya hasara.Nenda mashamban kuna watu wanafanya vilimo vikubwa na wana mafanikio makubwa ila huku kwenye mtandao hautawaona ww endelea kusubiri ushuhuda JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…